JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Mimi muasi napinga hiyo na Reform no Election, reforms za kweli Anza na nafsi yako mwenyewe Kisha familia .

Kisha zianze kwenye Elimu na kurekebisha bongo za Watanzania ambao focous zao mambo ya ngono , umbea ,miziki na Simba na Yanga .

Uchaguzi sio solutions ya matatizo yote ya nchi hii kama watu ndio walewale katika Jamii hii hii , wabongo wengi Mafisadi ndio hivyo hawajapata mianya ya kupata nafasi na vitengo.
 
 
No reform no election
 
N.RN.E-2025

No R, No E=N.RN.E

No reforms No elections abbriavited to N.RN.E

No reforms for elections procedures in Tanzania, no elections 2025
 
Hizi ni bangi tu hamna kitu hapo kuna maelfu ya watu wanacomment No reform ukiwauliza inamaana gani ? haelewi na anajua maana ukimuuliza zinanisaidia nini sasa mwananchi wa kawaida ambae si mwanasiasa ? majibu hamna sasa siutopolo huu
 
Challenge safi sana Mshana. Coments wanazostahili kina tlaatlaah, Mashamba, choicevariable na wengineo ni No reforms No election. Chochote watakachopost ni No reforms No election, No more, No less
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…