Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,023
- 949
Safari hii nchi inakwenda kutetemekaNiwe sehemu ya historia hii takatifu kwa taifa letu. NO REFORMS NO ELECTIO.
Safari hii nchi inakwenda kutetemekaNiwe sehemu ya historia hii takatifu kwa taifa letu. NO REFORMS NO ELECTIO.
Me sijala bhn mpk sasaIli kura ziwe nyingi ni ruksa mwana JF kutumia ID zote.
Nimeruhusu kama una ID zaidi ya moja we tumia au unaweza ukaunda ID mpya kadiri uwezavyo.
DIVISHENI FOO do your best with multiple IDs
Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD Mbaga Jr hata mzabzab tunakutaka huku.
No REFORMS No election..!Mwaka huu tutaona na kusikia mengi
Tupiganie kwanza mambo ya no reform no election ili maisha yawe mororo.Me sijala bhn mpk sasa
Sina muda mmTupiganie kwanza mambo ya no reform no election ili maisha yawe mororo.
Tujenge maisha ya kesho kwa kupinga uongozi dhalimu.
Hahaha 😂🤣😂😅Sina muda mm
No reform No electionMwaka huu tutaona na kusikia mengi
Unataka serikali ikuletee chakula? Kazi ya serikali ni kujenga barabara, miundombinu, Elimu. Afya, Utawala bora wa sheria na haki.Me sijala bhn mpk sasa