Mshana bila shaka nasubiri kupata mrejesho wa target ya kampeni tukuka ya No reform No election.Mungu ibariki Tanzania na washiriki wote wa kampeni hii tukuka ya NO REFORM NO ELECTION.No reforms no election
Usikose kuwa sehemu ya historia mpya ya Taifa letu Pendwa ndugu Mwana JF.Mwalike ndugu jamaa na rafiki yako anayelipenda taifa hili awe sehemu ya historia ya kuyataka mabadiliko ya kweli navyenye tija kwa Taifa.Hatimaye zimefika...
Hongera kwa Uzalendo na kwa kazi mzuri kwa taifa.Uzalendo Uendelee Mzee wa Kilingeni.It is done before the targeted time
Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi October 2025 βοΈπ― kivyovyote vile tutakuwepo πTusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uziππΏππΏππΏππΏ
View attachment 3359751
Umewahiwaπ na Ryan HolidayNgoja nikamilishe target
Angalia hapo mwisho typing error "shukrani wote"Mwisho Neno la shukrani: Asanteni wote mlioshiriki challenge hii kea nidhamu ya hali ya juu na upendo mkuu.. Kea mara ya kwanza JF muktadha wa mada umezingatiwa kwa asilimia 100βπΏππ¨βπΏππΏππΏππΏ
Kila reply ilikuwa ina umuhimu wa kipekee mno kwenye kutimiza lengo..Niwashukuru sana sana.. Sasa ni wakati wa kujiachia na kupongezanq.. Andika chochote sass cha kumpongeza yeyote kufanikisha hii challenge βπΏπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Wale wa upande wa pili walijaribu kuiga lakini leo ni siku ya pili hawajafikisha replies 140π€π₯Ίπ
JF ni role model wa mitandao mingine.. Kinachofanyika hapa huakisi uhalisia ulivyo nje ya hapa.. Naamini mamlaka zitaichukulia hii challenge katika mtazamo chanya zaidi na kutenda kulingana na mahitaji ya wengi
Shukrani wife
Jrβ’View attachment 3362419
NrneNo election no reform
Hongera tumefikiaUmewahiwaπ na Ryan Holiday