JF bwana! Humu kila mtu anajua Kiingereza na anamiliki magari

magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,394
Likes
4,661
Points
280
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,394 4,661 280
Bongo ya mleta mada inaamini ukimiliki gari we tajiri, ukiongea kiingereza umesoma sana wakati hata Diamonda anaongea. With all due respect this is the hopeless thread i ever viewed.
 
koba lee

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
330
Likes
329
Points
80
koba lee

koba lee

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
330 329 80
Narudia tena kusema,sijaongelea suala lolote la utajiri,wala hamna neno utajiri katika uzi wangu,sema nini watu wanaomiliki magari na kuongea kimalkia ndo wanajifanya life wamelipatia.
Mwisho,bongo yangu iko fit kuliko ufit wenyewe
Bongo ya mleta mada inaamini ukimiliki gati we tajiri, ukiongea kiingereza umesoma sana wakati hata Diamonda anaongeleza. With all due respect this is the hopeless thread i ever viewed.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,394
Likes
4,661
Points
280
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,394 4,661 280
Nani kasema anamuona mtu mwenye gari ni tajiri?Sema wenye magari ndo wanajiona matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekuwa wanajiona matajiri wangeleta thread kama hii kuwakandia wasio kuwa nayo. Ila wewe unayewaona wenye gari matajiri umekuja kufungua uzi.

Mimi sina gari, ila napomuona mtu ana gari ananipa hamasa ya kuzidi kupambana ili siku moja na mimi nimiliki. Kumchukia aliyekuzidi mafanikio hakujawahi kuwa msaada kwenye mihangaiko yetu. Sana sana Chuki itakuletea msongo.
 
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,394
Likes
4,661
Points
280
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,394 4,661 280
Narudia tena kusema,sijaongelea suala lolote la utajiri,wala hamna neno utajiri katika uzi wangu,sema nini watu wanaomiliki magari na kuongea kimalkia ndo wanajifanya life wamelipatia.
Mwisho,bongo yangu iko fit kuliko ufit wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niamini mimi. Bongo yako ingekuwa fiti usingeleta uzi kama huu. Kama huamini jaribu kugoogle mada kama yako uone kama utakutana na hii kitu.
 
koba lee

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
330
Likes
329
Points
80
koba lee

koba lee

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
330 329 80
Na wengine wanajifanya washauri,wanajua sana mambo
Wangekuwa wanajiona matajiri wangeleta thread kama hii kuwakandia wasio kuwa nayo. Ila wewe unayewaona wenye gari matajiri umekuja kufungua uzi.

Mimi sina gari, ila napomuona mtu ana gari ananipa hamasa ya kuzidi kupambana ili siku moja na mimi nimiliki. Kumchukia aliyekuzidi mafanikio hakujawahi kuwa msaada kwenye mihangaiko yetu. Sana sana Chuki itakuletea msongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,508
Members 485,585
Posts 30,124,295