Wangekuwa wanajiona matajiri wangeleta thread kama hii kuwakandia wasio kuwa nayo. Ila wewe unayewaona wenye gari matajiri umekuja kufungua uzi.
Mimi sina gari, ila napomuona mtu ana gari ananipa hamasa ya kuzidi kupambana ili siku moja na mimi nimiliki. Kumchukia aliyekuzidi mafanikio hakujawahi kuwa msaada kwenye mihangaiko yetu. Sana sana Chuki itakuletea msongo.
Park kwanza usijepata ajali si unajua spare za magari yenu hapa TZ hamnaSince I joined this platform (JF) I had never came across a fucking thread like this one!!
Nipo nadrive, nitaleta tafsiri nikifika parking mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app