Jf bhana!

Hizo comments huwezi kuzikuta kwenye threads zinazojadili mambo ya msingi yemye kuhitaji akili kubwa kuyaendea.
 
na ukimponda Rais... hapo sasa utapata Like zoooote! na ukiwatukana waislam au ukitaka pia uoge matusi wasanue wakristo Kuwa wanapigwa na manabii wa uongo! hapo utapewa kila tusi jip ya
 
na ukimponda Rais... hapo sasa utapata Like zoooote! na ukiwatukana waislam au ukitaka pia uoge matusi wasanue wakristo Kuwa wanapigwa na manabii wa uongo! hapo utapewa kila tusi jip ya
🤣🤣🤣 Hakika jf ina watu wa ajabu sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…