Jf bhana!

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
19,253
Reaction score
34,637
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.

Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....

Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
 
Hamna maisha nje ya jf? Ingia angalia mada kama ni kubadilishana mawazo na members fanya hivo Toka endelea na maisha yako, tatizo watu wanafanya jf kama sehemu ya kutafta sympathy kwenye maisha Yao, mtu anakua anataka attention kutoka Kwa watu hata hamjuani....
 
Hakika mkuu,japo maudhui yenye kujenga ndiyo keypoint ya kuanzishwa forum hii
 
Chai 😂😂😂😅😅😅

Just jocking 🤣
 

Ni dalili ya umaskini uliokithiri
Kutokuelimika licha ya mtu kwenda madarasa.
Dalili ya ubinafsi usiomithilika.
Chuki na tatizo la kisaikolojia linalotokana na trauma za malezi

Hata kuponda Nyumbu sijui Mbogamboga haya kwenye jambo linalohitaji mjadala ni dalili ya upumbavu
 
Like za nini sasa kwenye mawazo yako mkuu? Wanawake mnadeal na vitu visivyo na maana kabisa.
Kuna sisi hta hatujui hiyo like yake inanisadia nini mimi muhimu uni quote hapo sawa nitajua mawazo yangu umeyapenda au hayajanipenda utajua atajua mwenyewe
 
Ukichukulia kila kitu serious n ww ndo utakuwa unaumia, ndo mana sisi wengn mnasema bado watoto n kwa sababu hatuichukulii serious JF na ndivyo inavyotakiwa.

Ingia JF chukua positive unayoiona itakufaa, then Tulia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…