ahsante zako nyingi kwa kuja kunipokea na kunisindikiza bila kujali mvua copy: Filipo Lily Flower Mzee wa Rula Kaizer PakaJimmy
Hongereni na tunawashukuru sana wana jf wote mliotuwakilisha huko, mwenyezi MUNGU awaongezee na kuwabariki sana. AMEEN
Huyu jamaa yupo kwenye mtego usimshitue maana ligistics zimekua lodge tehe tehe.
Sitii neno hapa, ntaongea siku nyingine KWA VITENDO zaidi...:tape2:
Shukrani za pekee zimuendee MUNGU kwa kuwezesha hilo kufanyika.
PakaJimmy hapo juu umeandika WOTE tulifika salama, kwani mimi na Kaizer tulirudi Arusha? Mlivunja masharti ya TANGA mjue.
COPY Mzee wa Rula Filipo Lily Flower.
Tehe tehe kwa hiyo unataka kusemaje??
Kitendo kilichofanywa na ndugu zetu wa Arusha Wing, cha kusafiri umbali mrefu kuja kuhani msiba wa mtoto wa KOKUTONA jana ni level ya juu sana ya ubinadamu.
Binafsi nakosa maneno ya kutumia kueleza ukubwa na umuhimu wa kitendo chenu kwa familia ya KOKUTONA sie wana Ta Wing. Tumefarijika sana na tumekubali kwamba nyie ni mfano wa kuigwa ndani na nje ya JF.
MUNGU AWABARIKI SANA!
Babu DC!
Wapendwa Mungu awabariki sana kwa moyo mliouonesha... Pia awazidishie pale mlipopungukiwa...
Hapa si bure kuna kitu, ngoja niangalie camera yangu kama inatukio hili.
Mzee wa Rula kwa kifupi mizimu imekasirika sana kwa kitendo chenu cha kutokulala KOROGWE TANGA.
Rudini fasta mkaitulize.
Mzee wa Rula kwa kifupi mizimu imekasirika sana kwa kitendo chenu cha kutokulala KOROGWE TANGA.
Rudini fasta mkaitulize.
jaman jamam me Arushaone ni shem wangu kwa Blaki Womani
waambie hao shauri yao. Rudini haraka sana jaman hatutaki kesi
Wapendwa Mungu awabariki sana kwa moyo mliouonesha... Pia awazidishie pale mlipopungukiwa...