JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,653
Kitendo kilichofanywa na ndugu zetu wa Arusha Wing, cha kusafiri umbali mrefu kuja kuhani msiba wa mtoto wa KOKUTONA jana ni level ya juu sana ya ubinadamu.

Binafsi nakosa maneno ya kutumia kueleza ukubwa na umuhimu wa kitendo chenu kwa familia ya KOKUTONA sie wana Ta Wing. Tumefarijika sana na tumekubali kwamba nyie ni mfano wa kuigwa ndani na nje ya JF.

MUNGU AWABARIKI SANA!

Babu DC!
 

yani hata me nimefurahi sana Mungu awe pamoja nao
 

yani hata me nimefurahi sana Mungu awe pamoja nao
Aksanteni sana wakuu Dark City na Arabela
Ukweli tulifurahi sana kutimiza ahadi tuliyokuwa tumeiweka mioyoni mwetu, tunajisikia amani sasa!
Safari yetu ilikuwa njema sana na wote tulirudi salama.
Tulijifunza kitu kwenye ile safari!
 
Last edited by a moderator:
Nichukue nafasi hii ya pekee kumpongeza sana mdogo wangu Arabela kwa moyo wa upendo wa hali ya juu kwa kusafiri all the way from Tanga kuja kOrogwe kuungana na sisi, lakini pia kwa mchango wa hali na mali alioutoa!
Pokea BIG UPs zangu Arabela!
 
Last edited by a moderator:

yani hata me nimefurahi sana Mungu awe pamoja nao

Binafsi niwashukuru wanaJF wote kwa ujumla kwa wale waliojitolea kuungana na sisi kwa hali na mali. Aidha kuna wale ambao nao walikuwa pamoja nasi kwa maombi tokea tunaondoka hadi tunarudi, kila mara walikuwa wakifuatilia wapi tumefika hadi tunaingia majumbani.

Wote kwa pamoja Mungu awabariki sana.

Pamoja na hayo tunashukuru sana KOKUTONA kwa maandalizi mazuri pamoja na wenzake ambao kwa kweli walijiandaa na ugeni wetu kiasi cha kutosha sana, Mungu awabariki wote.

Mwisho tunamrudishia shukrani Almight God kwa kutupa ulinzi na kukubali dua /zetu/zenu maana bila yeye kukubali dua/maombi yetu/yenu basi naamini tusingekuwa salama.
 
Last edited by a moderator:
Nichukue nafasi hii ya pekee kumpongeza sana mdogo wangu Arabela kwa moyo wa upendo wa hali ya juu kwa kusafiri all the way from Tanga kuja kOrogwe kuungana na sisi, lakini pia kwa mchango wa hali na mali alioutoa!
Pokea BIG UPs zangu Arabela!

ahsante sana kaka PakaJimmy kwa kutambua hilo. Nashkuru that was atleast i could do for KOKUTONA.
 
Last edited by a moderator:
Shukrani za pekee zimuendee MUNGU kwa kuwezesha hilo kufanyika.

PakaJimmy hapo juu umeandika WOTE tulifika salama, kwani mimi na Kaizer tulirudi Arusha? Mlivunja masharti ya TANGA mjue.

COPY Mzee wa Rula Filipo Lily Flower.
Aisee!!
Nimeamua kugeneralize ili kufunika kombe, sasa wewe unaanza kutoa siri tena mkuu?
Hizi ni siri za ndani sana bana, zinawahusu walioenda tu!
 
dah! PakaJimmy, na ARUshone you are good people ever.........
huwaga najiuliza watu wa aina yenu bado wpo hapa dunian kweli?? naupenda moyo wenu wa mapenzi mema mema kwa wenzenu na zaid ya yote napenda sana ushirikiano wenu.

i owe you zawadi kwa kweli.

Babu Dark City wewe mie sisemi sana ila tu naomba umwambie Arabela kwamba nampenda sana na nampend zaid kwa moyo wake wa kujitolea. wewe babu salam zako nitazituma kwenye barua nyingine nitakayoituma.
 
Last edited by a moderator:

ahsante sana my dia gfsonwin. Nashkuru sana kwa pongezi zako.. Name nakupenda pia sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…