Mr Rocky na wewe ni bilionea huko Arusha?
Nawakubali ila amu ndio sijawahi kukutana naye! Mkuu LiverpoolFC Kaundime ni habari nyingine! Mtambuzi
Cantalisia ilikuwa nije kwa helicopter lakini kulikuwa na upepo sana ikashindwa kupaa!
Ni mmoja kati ya wale wamiliki ndege binafsi;
jaza mwenyewe kama ni bili au ni mili au trili
Mr Rocky na wewe ni bilionea huko Arusha?
hapana mkuu wangu Nyani Ngabu
ndo maana huwezi sikia hata kwenye vikao kama hivi nipo maana wanaalikana mabilionea sasa sisi wenye kugongea bia na nyama choma aise huwezi kualikwa
Mamndenyi ni ndege huyu anayeruka mwenye damu na macho na nyama au unamaanisha niniNi mmoja kati ya wale wamiliki ndege binafsi;
jaza mwenyewe kama ni bili au ni mili au trili
Na madarasa yenyewe ndo hivyo hivyo nitapajulia wapi
hapo kwenye redi mie.
Nyani Ngabu watakuwa wananionea wakati huo maana kwenye list hata ya wale Milioni moja wenye vijicent simo sasa huo ubilionea nitaupata wapiBasi subiri ufe maana lazima watakuja kuandika hapa 'bilionea mwingine wa Arusha na memba maarufu wa JF afariki kwa ajali ya gari'
hapana mkuu wangu Nyani Ngabu
ndo maana huwezi sikia hata kwenye vikao kama hivi nipo maana wanaalikana mabilionea sasa sisi wenye kugongea bia na nyama choma aise huwezi kualikwa
Cantalisia hujamboMmmh Mr Rocky!!!
My dia ladyfurahia nilitoa taarifa labda tu hukuona kule chitchat
Hongereni JF arusha members
Nyani Ngabu watakuwa wananionea wakati huo maana kwenye list hata ya wale Milioni moja wenye vijicent simo sasa huo ubilionea nitaupata wapi
Nimekusoma Mr Rocky ila kwa sasa niko Arusha mazima.Cantalisia hujambo
Mambo ya Atown bana yaache kama yalivyo ila ukija tena hata PM bana tuambizane
Ngalikihinja naamini hujatoa taarifa so ni ngumu kwa watu kujua kila anayekuja Arusha.Mi nipo Arusha lakini sijapokelewa hivyo usiwapongeze
Haya nakupa taarifa wewe, nipokee, nipo Arusha HotelNgalikihinja naamini hujatoa taarifa so ni ngumu kwa watu kujua kila anayekuja Arusha.
ladyfurahia asante sana aise kwa kunipa moyobinamu wanakusumbua hao achana nao wakitaka waje home kwako wakuone km wewe ni milionea au bilionea
Haya nakupa taarifa wewe, nipokee, nipo Arusha Hotel