JF Arusha Members hakika ni zaidi ya nilivowadhania............

JF Arusha Members hakika ni zaidi ya nilivowadhania............

Cantalisia

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
5,221
Reaction score
2,930
Habari zenu wapendwa, Hakika ninayo furaha ya pekee sana kuwashukuru JF Members wa Arusha kwa mapokezi yao,ukarimu na upendo waliounyesha kwangu,kwakweli ilikua nizaidi ya vile nilivodhania maana watu waliacha shuhulizao na familia zao majumban na kujitokeza sehem iliyokuwa imeandaliwa kwa mapokezi na kukaribisha rasmi km member mpya wa Jf Arusha.


Shukran za pekee zimuendee mwenyekiti PakaJimmy, katibu Mzee wa Rula,wajumbe black woman Erickb52 Arushaone LiverpoolFC Kabakabana Filipo, Mercy(Na Njiro-Kontena)na dada yake Blaki Womani na wengine wengi,wengine waliamua kujumuika nasi kwa njia ya simu bila kuwasahau sweetlady Mungi na Lady doctor bila kumsahau baba yangu Mtambuzi na babu Asprin.



Wapendwa nawashukuru kwa kunisajili kuwa mwanafamilia mwenzenu najisia aman katika mji huu ambao sikutarajia kupata ndugu na marafiki wa kwelina wengi na wenye upendo km mlionionyesha nashukuruni sana na mungu awabariki hakika naamini huu ni mfano wa kuingwa kwa mikoa mingine ambayo haina utaratibu kama huu. Asanteni sana.
 
Pamoja sana karibu umenyeni.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Hongereni JF members wa Arusha. Ingawa kuna mapungufu yenu kama kuishabikia CHADEMA, lakini kwa hili nawapa Thumb up.

........., ha hahgagaga wewe tena! Humalizi chochote bila kuwataja makamanda
 
Back
Top Bottom