JF Arusha Members hakika ni zaidi ya nilivowadhania............

Hawa jamaa wa Arusha wing ni wa kipekee sana. Ngoja nijipange japo niwatembee siku moja.
 
Cantalisia UMENIWAHI:

nI KUTOKANA NA UHABA WA NETWORK HUKU NILIPOFIKA LAKINI NA MIMI NIIBIE HAPA KWENYE THREAD YAKO KUWASHUKURU SANA WANA JF ARUSHA WING KWA UKARIMU WAO PINDI NILIPOKUWA KWAO WEEKEND MBILI ZILIZOPITA. IT WAS SO NICE AND I WAS VERY HUMBLED...
THANKS A LOT Arushaone, Filipo, crashWIRE, PakaJimmy, IGWE ET AL..KWA UKARIMU WENU!

YOU WILL NEVER BE FORGOTTEN...

#ILA ILE BARIDI SASA...NASHANGAA MBONA HAKUNA MAAMBUKIZI MENGI KAMA HUKU NJOMBE!
 
Last edited by a moderator:
Mfano mzuri umeonyeshwa na watu waarusha, wengine tuiige. Kumbe arusha kuna mazuri! tulizoea mara ooo wanakula sana lile jani, mara wakorofi; kumbe na mambo mazuri wanweza kuyafanya vizuri pia:ballchain:
 
maphie ndio maana nikasena ni zaidi ya nilivodhani!!!
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia UMENIWAHI:

nI KUTOKANA NA UHABA WA NETWORK HUKU NILIPOFIKA LAKINI NA MIMI NIIBIE HAPA KWENYE THREAD YAKO KUWASHUKURU SANA WANA JF ARUSHA WING KWA UKARIMU WAO PINDI NILIPOKUWA KWAO WEEKEND MBILI ZILIZOPITA. IT WAS SO NICE AND I WAS VERY HUMBLED...
THANKS A LOT Arushaone, Filipo, crashWIRE, PakaJimmy, IGWE ET AL..KWA UKARIMU WENU!

YOU WILL NEVER BE FORGOTTEN...

#ILA ILE BARIDI SASA...NASHANGAA MBONA HAKUNA MAAMBUKIZI MENGI KAMA HUKU NJOMBE!
Mentor sio siri Jf Arusha hakunaga tena.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wa Arusha wing ni wa kipekee sana. Ngoja nijipange japo niwatembee siku moja.
Katavi karibu sana we will be there kukupokea swaiba kama ilivokawaida ya Arusha wing!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom