Habari zenu wapendwa, Hakika ninayo furaha ya pekee sana kuwashukuru JF Members wa Arusha kwa mapokezi yao,ukarimu na upendo waliounyesha kwangu,kwakweli ilikua nizaidi ya vile nilivodhania maana watu waliacha shuhulizao na familia zao majumban na kujitokeza sehem iliyokuwa imeandaliwa kwa mapokezi na kukaribisha rasmi km member mpya wa Jf Arusha.
Shukran za pekee zimuendee mwenyekiti
PakaJimmy, katibu
Mzee wa Rula,wajumbe
black woman Erickb52 Arushaone LiverpoolFC Kabakabana Filipo na wengine wengi,wengine waliamua kujumuika nasi kwa njia ya simu bila kuwasahau
sweetlady Mungi na
Lady doctor bila kumsahau baba yangu
Mtambuzi na babu
Asprin.
Wapendwa nawashukuru kwa kunisajili kuwa mwanafamilia mwenzenu najisia aman katika mji huu ambao sikutarajia kupata ndugu na marafiki wa kwelina wengi na wenye upendo km mlionionyesha nashukuruni sana na mungu awabariki hakika naamini huu ni mfano wa kuingwa kwa mikoa mingine ambayo haina utaratibu kama huu. Asanteni sana.