Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Nashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtu
Sweetlady wa babu........... ningechinja mtu.
Msindima wa ODM............ Ningatafuna mtu.
Source.........?
Endeleeni kukutana wakuu w/end hii natia timu ntakuwa viwanja vya BUGALOO Njiro ..........................
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kukopa maneno ya mamaa wa Kericho; JF is beyond keyboards!!!!!!!!!!!
Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru wanaJF wote wa Arusha na wengine toka mikoa mbalimbali tuliokutana jana na juzi kwa mshikamano na ushirikiano ambao mmekuwa nao, tangu nilipopata nafasi ya kukutana nanyi december 2010 hadi hivi sasa mmepiga hatua kubwa sana.
Jambo kubwa na la msingi sana ni namna mlivyoweza kuji-organise na kujiwekea utaratibu mzuri sana kuanzia kuwa na viongozi na katiba inayowaongoza ili mfikie malengo mahsusi mnayokusudia kutekeleza.
Kwa namna ya pekee niwashukuru sana kwa ukarimu wenu na upendo kwa wanajf wote wanaopata nafasi ya kufika Arusha na kuonana nanyi, nami nikiwa ni shuhuda wa ukarimu wenu na upendo wenu, ninasema heshima sana kwenu.
Nimalizie kwa kuwashukuru kwa utaratibu niliouona jana tulipokuwa pamoja, hizi "couples" nimezipenda.
1.Mchungaji Saharavoice & Loner; newly upcoming couple, jana mlitisha, mko juu sana!!
2.Pakajimmy & Preta; Mkiendelea hivi nadhani Kericho kwisha habari yake!!
3.Filipo & Blackwoman; Equation ilikuwa imebalance vizuri sana, mlifunika!!
4.Easymutant & Mysoul; Kwakweli sina la kusema waliokuwepo walijionea wenyewe!!
4.Kimey & Wiselady; The best couple of the day!! Heshima kwako Kimey bila shaka "long distance" is no longer there!! Mchungaji saharavoice anatakiwa kuendelea kufanya maombezi na kutoa ushauri ili hatimaye mtumishi aendelee na huduma bila vikwazo.
Mwisho kabisa niwashukuru kamati ya maadili;
1. Vince-mwenyekiti wa kamati
2.Crashwise-Afisa habari wa kamati
3.GY-Mwekahazina wa kamati
PENDEKEZO;
Napendekeza mabadiliko ya katiba ili kuwepo na nafasi moja ya mwanachama wa heshima, na bila shaka Mwita Maranya atatunukiwa tuzo hiyo. Babu Asprin umechelewa hata kama unajiandaa kwenda Arusha, njia zote zimeshakabwa mpira hauwezi kupita labda ujaribu "long balls" ingawa kimo chako hakiruhusu mipira ya juu!!
Nawasilisha.
Karibu sana kaka, na mimi ninashukuru sana kwa kukufahamu. Sahara Voice ana gear nyingi sana na mimi na sita.... Mchana mwema na karibu tena A-Town HQ...

Nadhani mngehamia FaceBook pangewafaa sana. Ili muweke na picha zenu kwa uhuru zaidi.
Ni Mtizamo tu.
Karibu sana kaka, na mimi ninashukuru sana kwa kukufahamu. Sahara Voice ana gear nyingi sana na mimi na sita.... Mchana mwema na karibu tena A-Town HQ...
Kaka hapo kwenye kubalance equation!
Kwa kifupi jana ilikuwa burudani sana. Nilijisikia furaha. Walioikosa wamemic sana. Ingawa PJ anakazi ngumu ya kuzisitisha safari za kericho!
Hivi ulifika salama? maana ilikuwa usiku sana.
halafu nieleze gear niliyokutia.
Kaizer ni mwanachama hai wa JF Makao Makuu......... JJ pa Ukwee'''Kudos............................where are JF members in Dodoma.......................Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!
Mkuu niandalie mbuzi choma pale kwa mromboo......Kaka hapo kwenye kubalance equation!