Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 583
naomba idadi ya like zionekane zote, sio post ina like 16 zinazoonekana 6.!!
Kwa huu msimamo hata mimi naunga mkono aslimia mia, jf ni kama maktaba.....Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante
Safi sanaYote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.

Hiyo binafsi naona kama ni mbaya, itakatisha tamaa na kujenga makundi hasa kwenye jukwaa la siasa.Me naomba muweke na kitufe cha DISLIKE
Sio kila Comments inastahili Like,
Kweli.Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante
Ukiona id Umeichoka iache fungua mpya sio muanze kutuchezea akili.App ipo poa kabisa, pia ninaomba mufikirie hili swala lakubadilisha ID mngeruhusu ID ibadilishike angalau mara moja kwa miezi mitatu.
Mbona ukienda kwenye profile yako unazikuta zote hata kama zipo 100, au unataka kufurahisha wapita njianaomba idadi ya like zionekane zote, sio post ina like 16 zinazoonekana 6.!!

Tayari wameshairejesha Play store?Ni hatua njema ya maboresho ila inaonekana kama ya kwenye "Tapatalk" tu
Muwe na maboresho ya mara kwa mara ambayo wadau wengi wanayasemea kama kuna ulazima wa kufanya hivyo
![]()
Tapatalk?Tayari wameshairejesha Play store?
Tapatalk?

Tapatalk ipo playstore mbona
Ha haa! Hapo kwenye 'switch account' ndipo nimepapenda. Patakuwa user friendly sana kwa wale wenye multiple ID...
Ha haa!Mods waliziunganishaa...Wewe unazo ngapi mkuu?