Son of Nun
Senior Member
- May 8, 2017
- 179
- 78
Mbona naona kama sasa hivi mtu unapata notification.Notification zimepotea, tunashindwa kufuatilia mjadala hasa majibizano
Punguzeni kujifanya wanasheria. Eti mna-burn mtu kama ni hivyo msijitambulishe tena kuwa ni jukwaa huru mliite la ccmWakuu,
Kwa watumiaji wa Android mtakuwa mmeona app yetu tumeiondoa kwenye soko kwa muda.
Inarejea muda si mrefu na tutaomba maoni yenu ili kuboresha.
Kwa watumiaji wa Android, itakuwa na mwonekano huu:
![]()
Kupata recent posts from all forums, itatokea hivi:
![]()
Button iliyo mbele ni ya PMs zako na mwishoni ni notifications zako.
Aidha, ukichagua jukwaa (mfano la Siasa), itatokea hivi:
![]()
Ukibonyeza button ya kuanzisha thread/topic, options za ku-upload picha/doc zitakuwa kama inavyoonekana chini:
![]()
Kwa wale wa iOS:
Kwa mbele kabisa katika orodha ya forums itaonekana hivi:
![]()
Kupata recent posts/discussions, itaonekana hivi:
![]()
Ukibonyeza pembeni kwenye user menu, itaonekana kama hivi:
![]()
Mengine hayana tofauti sana na Android.
Mabadiliko haya yatawekwa hewani muda si mrefu na pale ukikwama usisite kuwasiliana nasi
Kuhusu notification vipi mfano mimi tangu tar14 sipati notification inanisumbua sanaWakuu,
Kwa watumiaji wa Android mtakuwa mmeona app yetu tumeiondoa kwenye soko kwa muda.
Inarejea muda si mrefu na tutaomba maoni yenu ili kuboresha.
Kwa watumiaji wa Android, itakuwa na mwonekano huu:
![]()
Kupata recent posts from all forums, itatokea hivi:
![]()
Button iliyo mbele ni ya PMs zako na mwishoni ni notifications zako.
Aidha, ukichagua jukwaa (mfano la Siasa), itatokea hivi:
![]()
Ukibonyeza button ya kuanzisha thread/topic, options za ku-upload picha/doc zitakuwa kama inavyoonekana chini:
![]()
Kwa wale wa iOS:
Kwa mbele kabisa katika orodha ya forums itaonekana hivi:
![]()
Kupata recent posts/discussions, itaonekana hivi:
![]()
Ukibonyeza pembeni kwenye user menu, itaonekana kama hivi:
![]()
Mengine hayana tofauti sana na Android.
Mabadiliko haya yatawekwa hewani muda si mrefu na pale ukikwama usisite kuwasiliana nasi
kama sisi tunaotumia tecno za tochiKwenye ku upload Picha na video mgeweka ikawa rahisi kidogo kuna wengine inakua ngumu kidogo
Ndo naiona muda huu baada ya kupitia thread nzima kuona kama suluhisho, sio kama zamani, nikifungua notification sioni zile alama nyekundu kuonyesha quotes, post mpya kwenye uzi, likes, mentions etc, ebu cheki hapa chini ninachokiona hakibadiliki kwa wiki kadhaa sasa!Mbona naona kama sasa hivi mtu unapata notification.
LIKE yangu hujaipata kwenye hii post?
Maxence MeloYote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante