Jf akuna kulala vita ya mafisadi lazima kieleweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf akuna kulala vita ya mafisadi lazima kieleweke

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 20, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Hakika wasipomsifu mungu BASI jf tutanynyuka kumsifu MUNGU kwa ushind unaoendelea kwenye ya mafisadi wangapi walijua leo moto unaweza waka CCM kiasi hiki kisa walea MAFISADI na wanaokana MAFISADI\\

  ALUTA CONTINUA
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,594
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Moto gani wa mafisadi uliowawakia? kuwasema tu? , sijaona aliyeenda mahakamani, aliyerudisha mali zetu.Kama kusemwa ukweli wanasemwa mkuu, is always topic of the day! hii inakufurahisha mkuu?

  Ushindi gani huo? naona kama wameweka iwe hivi ili wawapate watu fulani wa kusema 'tunawashinda' kwa kuwasema!
   
Loading...