Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

makonda ana ndevu na kitambi kumbe?? sasa mbona amekunja uso kama ana susu gogo gumu?? sijamuona huyu jamaa zaidi ya siku tatu sasa ila nadhani ni vile magu alikuwa na wafanyabiashara....
 
Wangefanya kama za Argentina away jersey ni nzuri sana. Jezi za njano haziwapendezi kabisa.

"Hata hapa Dar es salaam, ukimatwa ukapelekwa kituo cha Polisi kwa uzururaji au makosa fulani, nitawauliza polisi mtuhumiwa amevaa nguo gani, kama amevaa jezi mpya ya Taifa Stars, ataachiwa" - Paul Makonda.

Toa maoni yako
 
Mimi nasema hivi kama hawa wapumbavu wa TFF hawataondoa hizo rangi za Yanga kutoka jezi ya timu ya Taifa, basi hiyo timu yao wawapelekee Yanga wakaishangilie badala ya kutulazimisha kuishangilia Yanga kiujanja!!!!
 
Hizi ni bangi sasa,hizo si rangi za Yanga niza bendera ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…