Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni.

Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana, vinginevyo ile shingo nyembamba inakwangua na kuikaba shingo.
 
Mpelekee Fundi Maiko akubadilishie kola
 
Mimi nina jezi moja ya FIFA nilikuwa naikubali sana, ikaja kuachia kwenye kwapa yaani tundu kuubwa. Sikuona aibu nikaipeleka kwa fundi aishone.
shida ya jezi ya yanga sio hiyo, iko vizuri sana, ila shingo yake ni nyembamba na kitambaa cha shingo ni kizito sana na sio smooth enough kwa comfortability kama ikigusa shingo
 
Najua unachosema. Material ya kola ni ya fulana ya kawaida na siyo ya jezi. Picha tu zilivyotoka nililiona hilo.
 
Hii inaweza kuwakwaza wachezaji ambao watakimbia nazo kwa dk 90 uwanjani, zinaweza kuwachubua shingo
 
Bila picha ni uongo
Nenda kanunue jezi uone mwenyewe. Hiki ninachosema ni kero ndogo kwenye jezi. Kitandaa cha shingo sio rafiki kwa ngozi hata kwa kuipapasa tu kwa vidole inakwangua kama msasa. Mtengeza jezi ametuhujumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom