Jeuri vs kusudi

Jeuri vs kusudi

Hahaha!! Haya mambo yanaanzia uswahilini yanaenda hadi kwenye uongozi wa juu! Huyu ni jirani kakuletea wenge, then from no where, Makonda anakurupuka bila ushahidi anakutaja, hujakaa vizuri Mkuu wa nchi kapata tetesi amekutumbua, wakati unamaliza kukabiliana na hayo yote serikali inasema ulijenga eneo la wazi au la hifadhi ya barabara na vibali vyote unavyo....!!! Ukiamua ueleze frustration zako kwenye social media Siro anakuita umeleta uchochezi, Kisutu inakusubiri...Yaan wakati mwengine kufanikiwa kwenye hizi nchi zetu ni karaha sana
 
Back
Top Bottom