Jeuri hii anaipata wapi huyu?

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,381
4,355
Mwakilishi wa wafugaji anaongea eatv na kutoa lugha kali kwa mkuu wa wilaya Betty Mkwasa akimtuhumu ati aliamuru ng'ombe wa kule Morogoro wauzwe na pesa kuwekwa ktk mfuko wa kijiji.

Hawa wafugaji wanaua wakulima kama kuku kwa jeuri ya pesa na wanaachwa tu naona sasa wanaanza kuzinunua media na kuibeep serikali mpya.
 
Last edited by a moderator:
Mwakilishi wa wafugaji anaongea eatv na kutoa lugha kali kwa mkuu wa wilaya Betty Mkwasa akimtuhumu ati aliamuru ng'ombe wa kule morogoro wauzwe na pesa kuwekwa ktk mfuko wa kijiji. Hawa wafugaji wanaua wakulima kama kuku kwa jeuri ya pesa na wanaachwa tu naona sasa wanaanza kuzinunua media na kuibeep serikali mpya.
Betty Mkwasa ni binadamu kama.wewe.na.Mimi akikosea wanahaki ya kuambiwa tena kwa.kuonyeaha kabisa amekosa.Uwoga mwisho Lumumba
 
Nani kamfuata mwenzie sasa?

Nakumbuka miaka karibu 20 iliyopita wafugaji (katika mkoa mmoja) walimchinja kijana mmoja mkulima wakamkata kichwa na kukitundika kwenye mti uliochongwa. kilichotokea wale wafugaji hawatasahau. Wakulima waliji-organize wakafanya ambush na kufanya mauaji ya kutisha...
 
Wafugaji ni chanzo cha matatizo
 
Wafugaji ni chanzo cha matatizo
Viongozi wako na lichama lenu ndo tatizo,wafugaji wanachangishwa ng'ombe kila mfugaji na kisha kupelekwa kwenye maeneo ya wakulima,na hili swala ni zito kuliko unavyo fikili,linaanzia wizarani,mkoani hadi wilayani,huku chini kila mtendaji au mwenyekiti wa vijiji wawmakuwa wanatekeleza maagizo kutoka juu,mfugaji anachangishwa mpaka ng'ombe 20,laiti ungekuwa umeshawahi kufuga hata MJUSI ungeyajua haya.
 
lugha yako chafu.
 
Sasa wewe rushwa ukampe mtendaji wa kijiji halafu ukachunge ng'ombe ktk shamba la watu! Unachoongea juu ya wafugaji kutoa rushwa ya mifugo, lkn huwezi tu kuvamia eneo la watu! Moro ni eneo la wakulima, hawwana idea kabisa na mifugo! Kuna sehemu nyingi duniani watu wanafuga lkn hawavamii maeneo ya watu! Ile kusafirisha ttu wanyama zaidi ya mikoa 4-6 ukiwa unalisha mifugo inaonesha kuna tatizo hapo!
 
Hili tatizo linazidi kuwa sugu na inaelekea watanzania tumeshindwa kulitatutua. Waziri Mwiguli angefanya hili tatizo kipaumbele. Uhai wa mtu mmoja hauwezi ukalinganishwa na mapato ya machinjio. Kama awamu za kutawala ni kupokezana vijiti basi hiko kijiti kilimponyoka mkimbiaji wa mwisho Huyu aliyetakiwa kupokea inabidi arudi nyuma akakitafute. Serikali imekuwa kama mfa maji.
 
Mleta mada ambacho hukikipenda hapo ni kipi..? Ni betty mkwasa kusemwa au wafugaji kuwaua wakulima...?
 
Jamani hebu tuongee Ukweli, wafugaji wamevuruga Nchi hii. Hawa watu ni wamasai na wasukuma kwao ni Morogoro? Kwa nini wasirudishwe kwao? waende Arusha na Shinyanga wakafuge. Kuwachekea kwa kisingizio cha uhuru wa kuishi na kufanya shughuli sehemu yoyote kama haki kwa hawa isiwe hivyo. Nchi hii itakuja kuwa kama DRC hatutaki. Waziri Mwigulu kama upo JF tafadhali toa Amri warudi kwao wakaisome Namba......
 
matatizo kati ya wakulima na wafugaji, siku zote wafugaji ndo wana hatia kwa asilimia 98. kwanini? mashamba hayatembei lakini ng'ombe wanatembea na kuvamia mashamba ya wakulima. wafugaji ndo wana hatia siku zote, wadhibitiwe kwa nguvu kubwa bila kuwachekea.
 
Ushauri huu ni vigumu kutekelezeka
 
matatizo kati ya wakulima na wafugaji, siku zote wafugaji ndo wana hatia kwa asilimia 98. kwanini? mashamba hayatembei lakini ng'ombe wanatembea na kuvamia mashamba ya wakulima. wafugaji ndo wana hatia siku zote, wadhibitiwe kwa nguvu kubwa bila kuwachekea.
Huo ndio ukweli, sema kwa kuwa wafugaji wao wanapesa basi wana mahala pengi pa kusemea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom