Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Siku zote junior officers jeshini ndio huwa wanaendesha mapīnduzi kisha wakifanikiwa wanajivisha mavyeo ya ki seniorKama kawaida ni Luteni ndio kachukua ndoo
Siku zote junior officers jeshini ndio huwa wanaendesha mapīnduzi kisha wakifanikiwa wanajivisha mavyeo ya ki seniorKama kawaida ni Luteni ndio kachukua ndoo
Ndio mkuu
Connecting the .sKuna wanajeshi 80 trump alipeleka Gabon hivi majuzi,,najiukiza kama kuna uhusiano
Mtasubiri sana hao wenyewe mapinduzi yao yameshindwa
AlishaandaliwaIna maana Omary naye angemuachia mtoto wake aongoze nchi duh
Inachosha kwa kweli......
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya nifurahi tangu asubuhi Mkuu.Mimi nilifikira Mapinduzi Bongo...nilianza kutia mkono mfukoni niagize Balimi.
All five of the rebels who tried to take charge have now been arrested by the authorities.Jeshi nchini Gabon limetangaza kwamba limetekeleza mapinduzi ya serikali katika taifa hilo la Afrika Magharibi.
Wanajeshi wenye vifaru na magari ya kivita wanashika doria katika barabara za mji mkuu Libreville.
Amri ya kutotoka nje imetangazwa.
Tangazo kutoka kwa kundi la vijana wa umri wa makamo linatangazwa na kurudiwa katika kituo cha redio cha serikali nchini humo, ambapo wanasema kumekuwepo na wasiwasi kuhusu uwezo wa Rais Ali Bongo kuongoza nchi hiyo.
Wanakosoa pia viongozi wakuu wa jeshi nchini humo.
Bw Bongo amekuwa nje ya nchi hiyo kwa zaidi ya miezi miwili, akipokea matibabu nchini Morocco kutokana na maradhi ambayo hayajafichuliwa baada yake kuugua akiwa ziarani Saudi Arabia.
Familia ya Bongo imetawala taifa hilo kwa miaka 51 iliyopita, na imetuhumiwa kwa kujilimbikizia mali na utajiri mkubwa kutokana na rasilimali za taifa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi huo mfano bado ni wa kuigwa wa kikundi cha wahuni kuvamia radio na kutangaza mapinduzi kama si bangi ni nini? ninyi watu mna harakaharaka mkisikia mambo ya kijinga bila kusubiri mnapata hamasa sababu mnachukia rais wenu.Huu ni mfano wa kuigwa kwa wanajeshi wetu kwa hali ilivyo nchini.