Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Omary Bongo Odimba
Hawajapindua bado ila ndiyo wamekamata kituo cha radio cha taifa na baadhi ya maeneo ya nchi.Jeshi nchini Gabon limetangaza kwamba limetekeleza mapinduzi ya serikali katika taifa hilo la Afrika Magharibi.
Wanajeshi wenye vifaru na magari ya kivita wanashika doria katika barabara za mji mkuu Libreville.
Amri ya kutotoka nje imetangazwa.
Tangazo kutoka kwa kundi la vijana wa umri wa makamo linatangazwa na kurudiwa katika kituo cha redio cha serikali nchini humo, ambapo wanasema kumekuwepo na wasiwasi kuhusu uwezo wa Rais Ali Bongo kuongoza nchi hiyo.
Wanakosoa pia viongozi wakuu wa jeshi nchini humo.
Bw Bongo amekuwa nje ya nchi hiyo kwa zaidi ya miezi miwili, akipokea matibabu nchini Morocco kutokana na maradhi ambayo hayajafichuliwa baada yake kuugua akiwa ziarani Saudi Arabia.
Familia ya Bongo imetawala taifa hilo kwa miaka 51 iliyopita, na imetuhumiwa kwa kujilimbikizia mali na utajiri mkubwa kutokana na rasilimali za taifa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
unafikiri wanaweza kuja na majibu ya changamoto zako?Huu ni mfano wa kuigwa kwa wanajeshi wetu kwa hali ilivyo nchini.
Sisi kwenye Debe la Kura tu.Huu ni mfano wa kuigwa kwa wanajeshi wetu kwa hali ilivyo nchini.
Huu ni mfano wa kuigwa kwa wanajeshi wetu kwa hali ilivyo nchini.
Wanajeshi wetu wamefunzwa kupambana na upinzani, khbangua korosho na kulinda kura za ccm bila kusahau kutuburudisha katika shughuli za kitaifa kama vile kupasua tofali nk. Huku mtaani wana maidha magumu hamna mfanoHuu ni mfano wa kuigwa kwa wanajeshi wetu kwa hali ilivyo nchini.
Lakini mbona Museveni anaongoza vizuri tu.
yupi?Safi kabisa, bado huyu hapa!
Na kununua na kubangua korosho tumwachie nani? una mawazo ya mabeberu wewe!wenzetu wana raha sana sijui lini itatokea na sisi