Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

Jeshi hilo limeshikilia Kituo cha Redio ya Taifa na kutangaza kushikilia madaraka huku wakieleza kuwa lengo lao ni kurudisha demokrasia nchini humo. Luteni Kelly Ondo Obiang ndiye aliyetangaza mapinduzi hayo na kuongeza kwamba Rais Ali Bongo wa nchi hiyo ameshindwa kufanya majukumu yake ipasavyo ya kuimarisha demokrasia. Rais Bongo anapinduliwa madarakani huku akiwa nchini Morocco, akipatiwa matibabu kwa maradhi ya kiharusi kwa miezi miwili sasa. Rais huyo ambaye aliingia madarakani Oktoba, 2009, akimpokea baba yake, Omar Bongo aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 42. Wanajeshi na vifaru vya jeshi vimeonekana kutawala mitaa ya nji mkuu wa nchi hiyo Libreville.
Kwa hyo na hapa siku tukimuona mabeyo anatangaza tbc ujue tayari
 
Hao wanajeshi wapuuzi tu. Yaani wamesubiri mpaka amekuwa mgonjwa, tena yupo nje ya nchi, tena miezi miwili toka ameugua na kuwa nje ya nchi.

Hamna kitu hapo yatayofuata yatakuwa hayana tofauti na huyo mgonjwa ama yatakuwa mabaya zaidi kuliko ya mgonjwa.

Mawazo yangu tu.

Hiyo nchi imeandaliwa machafuko na wasiojulikana nadhani.
Rais huwa anapinduliwa akitoka tu nje ya nchi...
Recall nkurunzinza hapo ng'ambo tu
 
~Gabon coup: Government says 'situation under control'
  • 25 minutes ago

_104265714_mediaitem104265713.jpg
Image copyrightREUTERSImage captionThe Gabonese president has been out of the country for two months
A spokesperson for the government of Gabon has said the political situation in the country is "under control", following an attempted military coup.
Guy-Bertrand Mapangou told the BBC that four of the rebels had been arrested by the authorities. A fifth is on the run.
The junior officers claimed they seized power "to restore democracy" in oil-rich Gabon, where the ailing leader's family has ruled for 50 years.
Tanks and armed vehicles could be seen in the capital Libreville.
"The situation is calm. The gendarmes who are often stationed there have taken control of the entire area around the radio and TV headquarters, so everything is back to normal", said Mr Mapangou.
Mr Mapanagou said that the army generals, civil society and opposition leaders mentioned in the rebels' statement as potential supporters would be investigated.
He added that the officer on the run would be arrested "in the coming hours."
Current leader Ali Bongo succeeded his father Omar Bongo as president in 2009. He narrowly won re-election in 2016 in a poll marred by violence and accusations of fraud.
What happened this morning?
The five soldiers took control of the national radio station at 04:30 local time (03:30 GMT) to read a short statement announcing a "National Restoration Council".
In a video circulating on social media, three young soldiers can be seen in a radio studio wearing military fatigues and holding guns.
Lt Kelly Ondo Obiang, who said he represented a group called the Patriotic Movement of the Defence and Security Forces of Gabon, specifically appealed to young people to "take charge of their destiny".
_105084435_gabongrab.jpg
Image copyrightGABON TELEVISIONImage captionSoldiers announced they had seized power on state television
The insurgents called on soldiers to take control of the transport system, ammunition reserves and airports "in the interests of the nation".
The BBC's Firmain Eric Mbadinga said the coup attempt came as a huge surprise. The army has always been seen as loyal to the Bongo family, he said, because it is dominated by the presidential guard, who mostly come from Mr Bongo's home region.
Most of the capital remains calm, an eyewitness told the Reuters news agency.
_103693518_086b2036-0a30-4a6f-a4a0-94c46832b58f.jpg

Hii ndiyo hali halisi
 
Rais huwa anapinduliwa akitoka tu nje ya nchi...
Recall nkurunzinza hapo ng'ambo tu
Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuepusha vifo vingi. Lakini siyo wakati wote inakaa hivyo. Mugabe alipinduliwaje, Kabila Mkubwa kwa ufupi tu.
Mengine sijui Mkuu, unaweza ukaniongezea maujuzi hapo
 
Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuepusha vifo vingi. Lakini siyo wakati wote inakaa hivyo. Mugabe alipinduliwaje, Kabila Mkubwa kwa ufupi tu.
Mengine sijui Mkuu, unaweza ukaniongezea maujuzi hapo
Ni kweli mkuu hata mara nyingine huwa hvyo..kwa sasa idara ya usalama watakuwa na la kujifunza ili lisitokee hapa kwetu
Tuilinde tbc yetu
 
Mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuwa na hayatakuwa kamwe suluhisho kwa matatizo ya Africa (rejea Misri kaondoka dikteta Mubarak kaja mbabe Al sisi au Zimbabwe) muhimu ni kujenga taasis zenye nguvu zitakazo hakikisha utii wa uwajibikaji wa sheria unadumishwa na sio viongozi (Chama) wenye nguvu.
 
Jeshi nchini Gabon limetangaza kwamba limetekeleza mapinduzi ya serikali katika taifa hilo la Afrika Magharibi.

Wanajeshi wenye vifaru na magari ya kivita wanashika doria katika barabara za mji mkuu Libreville.

Amri ya kutotoka nje imetangazwa.

Tangazo kutoka kwa kundi la vijana wa umri wa makamo linatangazwa na kurudiwa katika kituo cha redio cha serikali nchini humo, ambapo wanasema kumekuwepo na wasiwasi kuhusu uwezo wa Rais Ali Bongo kuongoza nchi hiyo.

Wanakosoa pia viongozi wakuu wa jeshi nchini humo.

Bw Bongo amekuwa nje ya nchi hiyo kwa zaidi ya miezi miwili, akipokea matibabu nchini Morocco kutokana na maradhi ambayo hayajafichuliwa baada yake kuugua akiwa ziarani Saudi Arabia.

Familia ya Bongo imetawala taifa hilo kwa miaka 51 iliyopita, na imetuhumiwa kwa kujilimbikizia mali na utajiri mkubwa kutokana na rasilimali za taifa hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sungusungu wa hapa wanachoweza ni kubangua tu korosho!
 
Back
Top Bottom