ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,133
- 9,510
Jamaa unachekesha ww eti lini utakutana na mtu umpige tofali
Ok asante kwa upishi mzuri wa hoja yako. umenielimisha kiasi chake.Unaweza kuwa sahihi kwa sababu zako ulizo weka lakini rejea malendo na dhumuni la kuanzishwa kwa jwtz pia nikukumbushe kitu ni kwamba hawajamaa hawafanyi kazi mipakani tu hata ndani ya nchi huimarisha amani pia kwa kushirikiana na polisi au wizara ya mambo ya ndani huo ni mgawanyo wa majukumu tu ndio maana mkuu wa majeshi anatoka jwtz sio polisi pia ktk ushirikiano wao katika utendaji kazi ndio maana majeshi yote yanafanya maonyesho .[HASHTAG]#Amani[/HASHTAG] kwao
Vibiskuti tu zile mkuu. Hebu beba lile walilojengea barabara za mwendokasi uwapelekee wavunje kama hujashitakiwa kwa uchochezimkuu Yale matofali sina uhakika kuwa yanafaa kwa matumizi ya kujengea maana haiwezekani tofali ya sementi ikapigwa nyundo moja ikawa mchanga kihasi kile
Basi jamani inatosha , tuhurumieni basi .Inakuonyesha Askari na majeshi yetu yalivyotupu kichwani
Sherehe za muungano hazina mvuto kabisa. Ni bora tuwe tunapumzika kama tufanyavyo siku za Nyerere na Karume days. Vinginevyo rais awe analihutubia taifa moja kwa moja toka ikulu. Kama vipi yafanyike makongamano ya kujadili kero za muungano.
Nimekuwa nikifuatilia maonyesho ya mbinu za kijeshi za majeshi yetu kuanzia makomando mpk jeshi la polisi, hakika hazionyeshi kwenda na wakati.
=ktk zama hz za teknolojia ya ndege zisizokuwa na rubani na kurusha makombola ya masafa marefu... Ninyi mnaonyesha kupigana na matofali na vipande vya mbao? Ni lini utakutana na adui umpige na tofali? Labda kama ni mbinu za kuwadhibiti wapinzani hapo sawa.
Mapambano dhidi ya wahalifu au Vita ktk zama hizi yanafanywa kiakili na kiteknolojia zaidi. Mahitaji ya mtu anayeweza kuhimili kupigwa na nondo ama tofali yamepungua sana kama siyo kwisha kabisa.
Wahalifu wengi hawana maguvu ya mwili wala hawatumii nguvu katika kutekeleza mambo yao. Na hata wapiganaji wa zama hz hawatumii tena magumi wala maguvu kubeba matofali. Kuna vifaa vya kiteknolojia vinavyofanya yote haya.
Niombe mtuonyeshe mambo yanayoendana na mabadiliko ya zama. Onyesheni show za kisasa kama zile za Korea kaskazini.
Acha kudanganya ummaTechnology just need knowledge and click button sio miguvu ya ugali
Good threadHivi umeshawahi kujiuliza kwa nini waasi wakikimbizwa ni kukimbilia Kenya,Congo,Rwanda,Sudan na nchi nyingine za Afrika mashariki na kati,na sio Tanzania?
Unajua wanajeshi wetu wanafanya nini huko mipakani kuzuia hilo?... Waulize watu wanaoishi mipakani ndio wanajua mziki wa JWTZ.
Wiki iliyopita zaidi ya wanajeshi 30 wa Tanzania wametunukiwa na UN.Wacongo wanalifagilia jeshi la Tanzania kuliko lao.
Katibu Mkuu wa UN alisema JWTZ ni jeshi lenye nidhamu na weledi wa juu kwenye mapambano kiufupi ni jeshi bora.
Amani unayoiringia kuna watu wanapoteza maisha yao kuilinda... Kuwepo na amani ya mda mrefu kiasi hichi ni ishara tosha jeshi letu liko imara sana.
umetisha mkuu,Maonyesho= maonesho.
Unataka waoneshe nin mkuumaskini una hasira wewe unadhani ni sawa wanajeshi wetu kuanikwa kama maandazi na vistyle vya judo wanavyoonyesha wananchi vinawadharilisha waache utoto yaani vimaonyesho hivyo hivyo vya miaka nenda rudi viachwe mara moja