Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

Mbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
Ndio nawaambia CCM akili zao na chadema na km mbingu na sio ardhi tuu ila uchuke ndani yake hadi jehanum. Wanamwita D.J ingawa wanadhani ni usi ila hawakosei kiutaalamu, anawabadilishia CD hadi wanakata moto. Lowasa mwenyewe alikiri kuwa alikuwa anamwona Mbowe kwa mbali hakujua kuwa alikuwa fundi wa siasa namna hii.
 
Aliyeitaka roho ya Lissu atajulikana tu. Wasiwasi wangu ni kuwa wale snipers watapotezwa nao.
Snipers? Sniper yupi anapiga risasi 32 halafu hola?

Wale ni wapumbavu tu fulani
 
Hahahahaha.... Sijapenda alichofanyiwa Lisu, ila najiuliza huku kujifariji kwa vijana wa bavichabavicha. Hivi jeshi la polic liumbukeje? Kwamba kuna nini kipya mtakuja nacho zaidi ya tuhuma tulizozizoea kama zile za upipuzi ofisi za mawakili?

......
 
Fikiria pale Dodoma walikuwa na mawazo gani mpaka hawakumtafuta. Lengo lao lilikuwa halijatimia. Mawazo yalikuwa kumalizia ikashindikana. Mfano kama lisinge wagusa wanzania na kulaani wangemtafuta?
Walikuwa busy kuwasindikiza watendaji wa tukio hadi Moro ambapo kiongozi wa msafara alipata kupumzika hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza
Huu Ndiyo Wakati Wa Nyani Kumkana Mwanaye
 
Mungu alimtia upofu huyo mlenga shabaha. Hivyo ndivyo Mungu afanyavyo kazi kwa kuvidhalilisha vile vyenye nguvu.
 
Ndio nawaambia CCM akili zao na chadema na km mbingu na sio ardhi tuu ila uchuke ndani yake hadi jehanum. Wanamwita D.J ingawa wanadhani ni usi ila hawakosei kiutaalamu, anawabadilishia CD hadi wanakata moto. Lowasa mwenyewe alikiri kuwa alikuwa anamwona Mbowe kwa mbali hakujua kuwa alikuwa fundi wa siasa namna hii.
Nimefanya kazi za chama na huyu mtu , kwa akili hizi za ccm haitafika siku watamuweza , wataishia kung'oa matembele ya kwenye shamba lake tu .
 
Back
Top Bottom