Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

Mmezoea kutafuta sifa kupitia majanga ya wenzenu

Kwani suala la Lissu ni janga au limetengenezwa? Wakati kulikuwa na njia mbadala bila kuumizana na amani ikawepo.

Mi nakuona ndugu zako au familia yako wanapata shida sana kama ni waelewa. Hakuna anaetafita Kiki kwa ajili ya huyu ndugu yetu kwa yaliyompata. Jihisi maumivu aliyonayo sasa hivi unajisikiaje wewe. Jitambue.
 
Sijamuongelea Lissu, nimeongelea chama chake, jinsi kinavyopenda kiki kupitia matukio. Na sasa wamepata nafasi ya kutafuna ruzuku ya chama kwa kisingizio cha matibabu.
 
Sisi waalimu ktk teaching methodology mojawapo tunasema trach from known to unknown yaani unaanzia kwenye yanayojulikana kwenda kwa yasiyojulikana.
Kwa kanuni hii ni raisi sana kuwakamata wasiojulikana.
Tuanze na wanaojulikana kwamba wao ni adui wa Kisu.
1.uvccm
2.
3.
4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mmoja alikuwa mbali na tukio la Lissu kama upande wa pili kama mt 700 kutoka site III. Alimpigia boda boda mmoja simu kwamba kuna nini? Boda boda akamjibu kwa Lissu kuna shida. Baadaye mambo yalipojulikana, Yule jamaa akamuuliza yule boda boda ulijuaje kwamba kwa Lissu kuna shida?. Boda boda akajibu" tuliona gari la Lissu likifuatwa na Gari nyuma hapo kabla" Ulijuaje kama ni Lissu yupo kwenye Gari? Maeneo hayo Lissu ni Maarufu na hakuna mtu asiyemjua Lissu, Nape, Tulia, Ndugai nk.

So Issue inajulikana tu. Polisi wawe wakweli tu na watende haki kwa Lissu.

Ya kujiuliza.

Lissu anakaa karibu sana na Naibu speaker Tulia (kama sio ghorofa moja juu na chini) na wakati wote Nyumbani kwa tulia kuna Askali mwenye Bunduki, huyu askali alikuwa wapi? na Getini kuna walinzi wakati wote walikuwa wapi?

Tafadhali Nilikuwa najaribu kukusanya mawazo tu, Mnichukulie poa tu.

Inatia uchungu!!!
 
Aliyeitaka roho ya Lissu atajulikana tu. Wasiwasi wangu ni kuwa wale snipers watapotezwa nao.
Waliompiga Lissu sio snipers, ni mijitu isiyojulikana wenye SMG, na walifumble mission.
Sniper wa kweli anahitaji risasi moja tu-mission accomplished!
Lissu ashukuru Mungu, nasi tunashukuru, hao mijamaa ni ya mitaani!
 
Kubenea mimi nakuaminia ingia kazini fanya uchunguzi kama ule wa Ulimboka na weka majina yao hao Hadharani kama kawaida najua Nape na Bashe watakupa data muhimu za kufanyia kazi
 
Mbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
Ndio maana wanamsaka wajue anajua kiasi gani kuhusu washambuliaji ndio watoe tamko. Dereva asifike mikononi mwao kabla ya kuweka mambo sawa. Nina wasiwasi kuna mtu aefahamika sana alikuwa na washambuliaji.
 
Nimefanya kazi za chama na huyu mtu , kwa akili hizi za ccm haitafika siku watamuweza , wataishia kung'oa matembele ya kwenye shamba lake tu .
Haha, yule jamaa kule hai sijui ni wa nchi jirani magharibi mwa nchi. Anapata shida sana,ikizingatiwa jina lake wabantu hawawezi litamka basi anapandisha kichaa kila mara.Ni vyema kajifunza akirudi kwao akawaambie ugumi wa kuwa na mission za kipuuzi.
 
Kwani ni lazima kila mfuasi wa CHADEMA awe hana akili??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi ndio nashangaa,km ni lazima CCM kuwa chini kivivyo kwa hawa wasio na akili.Sijui ccm watakuwa na deni la akili km wenzao hawana na hawadai akili za mtu.
 
Back
Top Bottom