Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,290
Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza
Huu Ndiyo Wakati Wa Nyani Kumkana Mwanaye
Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza
Huu Ndiyo Wakati Wa Nyani Kumkana Mwanaye
Nyumbu sana hao jamaaHalafu wanavyojihami ni balaa.
Kwanini mnajishau kama mna A-Z si wekeni ukweli wazi ili na wenzenu waelewe kuliko mnavyojizungusha kama vile mnajitongozesha ...hizi ngonjera zenu pelekeni Basata wawasajiriNi vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.
Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!
Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
Loh!Ni vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.
Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!
Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
Mbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
Ahahha!! KibashiteSnipers? Sniper yupi anapiga risasi 32 halafu hola?
Wale ni wapumbavu tu fulani