Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,416
Reaction score
39,521
Ni vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.

Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!

Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
 
Kipindi cha Ben Saanane walishindwa wakasema ni TISS wakamaliza hivyo.
 
Ni vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.

Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!

Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
Chadema kila kitu kwenu siasa. Sasa issue ya Lissu ndiyo mmepata pa kuongelea. Mtaongea mpaka basi
 
Back
Top Bottom