Kinoamiguu JF-Expert Member Nov 29, 2018 10,526 13,015 Jun 1, 2021 #1 Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
N NSHOMA FRANCOUS JF-Expert Member Feb 14, 2012 698 325 Jun 1, 2021 #2 Kinoamiguu said: Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye... Click to expand... Wanasubiri raisi afanye ziara huko afu apewe kero hizo..
Kinoamiguu said: Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye... Click to expand... Wanasubiri raisi afanye ziara huko afu apewe kero hizo..
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,520 86,078 Jun 1, 2021 #3 Wanashindwa na TAKUKURU wamemkamata Sabaya!!!
mdudu JF-Expert Member Feb 6, 2014 6,954 9,857 Jun 1, 2021 #4 Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
chaUkucha JF-Expert Member May 28, 2012 3,382 1,208 Jun 1, 2021 #5 Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa
Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa