Wananchi wenzangu tusiwe tu mabingwa wa kulaumu tu lkn pia tujenge tabia ya Kutoa pongezi, kwani Pongezi iwatia moyo askari wetu ambao wanapqmbana usiku na mchana kuhakikisha usalama wetu na mali zetu.
Pongezi kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa DSM kwa operesheni kabambe kwa kuwasaka na kuwakamati hawa "kunguni" wanao joita Panya rodi.
nashauri mwendo huo uendelee, wabanwe hadi watajane wote ambao wapo kwenye mtandao huo.
Sambamba na hilo pia mtandao wa Majambazi sugu pamoja wauza madawa ya kulevya usambaratishwe mara moja.
Tukishirikiana kwa pamoja tutaweza.
Sisi raia wema tupo tayari kutoa taarifa za siri kuwataja wahalifu wote ktk maeneo yetu.
Pongezi kamanda Mliro
Sisi wananchi/raia wema tunaliomba Jeshi letu la Polisi kuwachukulia hatua kali wale wote wanao SHABIKIA VITENDO HIVI VYA KIHALIFU.
kuna miongoni mwa wananchi bila aibu wanafurahia na kushadadia vitendo vya panya rodi nia yao na lengo lao wapate hoja ya kulibeza Jeshi la Polisi eti kuwa halitimizi wajibu wake!!
aina hii ya watu wamo baadhi ya wanasiasa waovu ambao wanatumia Vitendo hivi vya kihalifu kama kete ya kisiasa lkn wapo pia wenye chuki binafsi na Jeshi la Polisi na Serikali kwa ujumla ambao waote hao nia yao ni kushangilia kila jambo baya kwa nia ya kutaka kuona Awamu ya 6 eti ifeli.
Hilo haliwezekani na wala halikubaliki.
lazima tushughulike nao sambamba, wasituharibie Amani ya Nchi yetu.
Kamwe tusiwachekee wanao leta dhihaki kwenye vitendo vya kihalifu....wanao shabikia vitendo vya kihalifu nao pia ni wahalifu, tushughulike nao.