mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje
Jeshi gani hilo la polisi?jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje
Asafari maana mh!!!!!!!!!!
tangazo limepelekwa clouds fm? mmhh!:A S-rap:
Ati kwa vile ni redio ya vijana ujumbe utafika.....vijana ndio watakaoanzisha lizombe?