Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
823
1,335
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje
 
Sina hakika kama kuna mtu anaweza kutoa pesa kwa jambo kama hili, ingawa linawezekana kufanyika kwa utashi wao wa kupinga dhuluma
 
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje

tangazo limepelekwa clouds fm? mmhh!:A S-rap:
 
Haturudi nyuma, na kama noma na iwe noma. Tunahitaji haki itendeke. Kila mtu anajua linaloendelea hata EU wameona ndo maana wakasema inabidi tukubali matokeo ili kudumisha amani. kitu ambacho binafsi ambacho kina gharama kubwa zaidi kuliko tukiwapelekea salamu kwa mwendo tofauti.
 
kwanini wasitangazie radio 1, tbc mpaka waende clouds? kunaninin clouds?
 
Polisi wanajiabisha kwa hili. Hivi hawaoni kuwa NEC wanachofanya si sahihi. NEC inataka kuitumbukiza nchi katika machafuko kama ilivyokuwa Kenya. Mzee LEWIS MAKAME hivi hana wajukuu????

Polisi wasitufanye yale ya 2005 ya Misinformation na kuwatisha watu. Kumbuka Mahita alipoibuka na Visu akidai CUF wanasambaza visu kuiteka nchi. Msidanganyike. Haki haitolewi bure inadaiwa.

Lakini kudai haki siyo lazima fujo. Jikumbushe staili ya MAHTMA GHANDHI wa India.
 
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje
Jeshi gani hilo la polisi?
How come jeshi litumie REDIO CLOUDS (ya binafsi)kutangaza possibility ya ishu nyeti kama hiyo?
Haya mambo ya kuwepo FEDHA kuwalipa watu ni mwendelezo wa propaganda za serikali ili kendelea kuwahujumu wapinzani!
I disqualify completely this!
 
jeshi la police limetoa onyo kwa vikundi ambavyo vinapanga kufanya fujo na maandamano kwani imesemekana kuna watu wanatoa fedha kuwapa watu ili wakusanyike kufanya vikao visivo rasmi na maandamano ya kuchochea vurugu, pia jeshi la police linaendelea kufanya upelelezi kumsaka mtu anayefanya kazi ya kulipa na kuandaa mikusanyiko hii. JESHI IMEPELEKA TANGAZO HILI CLOUDS FM NA LIMETANGAZWA KTK KIPINDI CHA LEO TENA NA DINA MARIOS. mh hofu sasa imetanda sijui itakuaje

Mi nasubiri tangazo la shimbo, hawa polisi wa mwema na kova hawana kitu zaidi ya njaa zao tu.
 
Asafari maana mh!!!!!!!!!!

yaah waambie tutaanza kwa kuchoma CLOUDS FM na TBC, wakaanze kulinda hapo, kina kinjekitile walituokoaje??
waende huko na mishahara yao ya kima cha chini.....................
OCD- 756,000 - Basic Salary hao FFU 156,000 na wengine wanalazwa kwa nyumba za mabati zinachoma kama nini ............. bado wanakumbatia ujingaa..............
 
Mimi nimemsikia Kova asubuhi mida ya saa mbili kasoro akielezea hiyo issue TBC1 na akasisitiza mikusanyiko isiyokuwa na kibali cha polisi ni kinyume cha sheria na hawajui inalengo gani. Akaongezea kwa kusema kama hao watu wana nia njema nasi wangetoa taarifa ili wapate ulinzi na wajue kuwa Jeshi lipo imara kukabiliana na uvunjivu wowote wa amini. Amesema kuna watu wengine waliokamatwa mapema kwenye matukio ya kule tandika wengine mpaka watoto wadogo wa miaka kumi walipo ulizwa walikuwa hawajui hata nini walikuwa wanashangilia na wapi wanaenda.

Kamanda Kova amesema watakaoshinkwa hata kama hawatakuwa na uelewa wa jambo hilo watachukuliwa hatua shtahili. Ameomba watu wenye nia njema watoe taarifa mapema watakapo ona hali kama hiyo inatokea ( polisi shirikishi ) na kuonya wanaumia ni pamoja na wapita njia wengine na watoto wadogo wa shule.

My take:

Kama watu wanaamua kufanya maandamano basi watumie njia stahili ikiwa pamoja na kutoa taarifa polisi na sio kutumiana messages kinyemela hatuwezi kujua kama hizo message zina baraka kwa viongozi waandamizi wa chama chochote cha upinzani au laa.
 
Uchochezi after uchochezi....This is full of crap, when are we going to put a stop to this people...come on now!!
Tangazo limetoka clouds+watu wanapewa pesa waandamane=?? Let me put it this way 100% NONSENSE
 
Jamani Clouds wameshakamatwa na CCM hao. Kwani mnawasikia tena wakitoa critisism juu ya serikali au CCM.
Nahisi kunawatu wanamategemeo ya viti maalum au ukuu wa wilaya.
Hii nchi jamani,sijui ni njaa au nini?
 
hehehehe hehehehe hehehehe
NGUVU ya UMMA haizuiwi kwa risas.
wajenge jela mpya za kuweka watu maana zilizopo hazitztosha
 
I was in zanzibar in 2001, residing at mlandege street, one of the elders aproached me one evining as I was from mtendeni, along mchangani busy road, and offered me 10usd, on consideration that I should appear the next morning for demonstration. hii ni techinik ya kutumia vijana wasio na kazi maalumu ili kufanikisha hila zao, chunguzeni sana mbona wenyewe hawajitokezi, unataka kumuweka mtu ikulu unkesha barabarani halafu yeye yupo kwake anakunwa kitambi na mkewe, huku mtaani kwetu kila jioni kuntuvikao tusito na maana na kuna strange faces zinchea vikao hivyo ktk baa bubu, jamaa wankuja na magari ya ukweli yakiwa tinted, nimeshuhudia kama mara mbili hivi nitajipenyeza one day then nikifanikiwa nitawapa nyuz wanajf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom