Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikusanyiko kwenye sikukuu ya Eid

afadhali ametokea kiongozi mmoja kuwatahadharisha wananchi badala ya mwehu anayetangaza bila kutumia akili watu wakusanyike, China kwenyewe walipofikiri wameushinda ugonjwa maambukizi yameanza tena
 
Serikali yetu inatuchanganya
Makonda anasema turuke majoka hotels, bars, casino zifunguliwe
Polisi wamezuia mikusanyiko tumsikilize nani?
Majogoo wawili wanakaa pamoja wanawika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu bwana, yote hii katika harakati za kuharibu korona festival.
 
Back
Top Bottom