Hakuna mwenye uwezo huoAchukuliwe hatua ili iwe mfano kwa polisi wengine!
Isiwe madaJeshi la polisi/police force
Hata magereza ni Jeshi ndio maana Rais anaitwa amri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini!
Ndugu hizi habari zako za sheria sio kwa Tanzania hii ,unless kama kichwani unawaza upo LondonSheria inawaruhusu?
Wewe unanichosha ,nenda pale Central kuna dawati la maulizo ukawaulizeKwanini haya yanatokea?Nani karuhusu?
Mimi ndie nilikuwa na shida ya kujua kwanini wanapiga makofi ?Well nenda wewe halafu ulete mrejesho