hata aibu hunaAcha upotoshaji bhana,Zile fine zinazotozwa madereva wazembe ndiyo zinakuuma hivyo?
Hayo umetunga wewe!Yaani ni bora Mara sabini wa huku kwetu wanatukwangua makofi wale wa US wao wanapiga paipu tu, tena wanachagua ya moyo au ya kichwani..!
Polisi wote dunia nzima ni dugu moja. Mimi nikilaga makofi nashukuru baadae mkavu naenda kushushia na kiroba. Ahahahaha!
maisha mepesi saana.
Muda si mrefu utakuja kusema polisi hawapo kabisa duniani.Sema Polisi, sio Jeshi!
Polisi ni Polisi tu, hakuna kitu kama jeshi la Polisi!
Sawa we endelea kuamini hivyo utakuja kuelewa badae Sana!Muda si mrefu utakuja kusema polisi hawapo kabisa duniani.
Acha viroba muda wa chai.
Ni kweli Polisi ni idara, Magereza wanaitwa Tanzania Prisons Service. Ila kuitwa majeshi lilitolewa kama tamko la kisiasa nadhani wakati wa vita ya kagera!Sema Polisi, sio Jeshi!
Polisi ni Polisi tu, hakuna kitu kama jeshi la Polisi!
Ha haaa ni PRAWeee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Wataelewa tu!,Ni kweli Polisi ni idara, Magereza wanaitwa Tanzania Prisons Service. Ila kuitwa majeshi lilitolewa kama tamko la kisiasa nadhani wakati wa vita ya kagera!