Jeshi la polisi lajianika

Tatizo la polisi nguvu nyingi kuliko akili elimu bado inaitajika Kama hivi wakipita humu dawa itawaingia tu
 
Tatizo walio wengi walifeli form na wengine wameenda mafunzo kwa kutumia vyeti vya ndugu zao. Watu kama hao atatumia nini kati ya manguvu na akili?
 
Mara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!

Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?

Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
Raia wa nchi hii kitu ambacho hawana ni mahali pa kusemea dhuluma wanazofanyiwa, na mahali pa kusemea kudai haki yao. Ukisemasema sana unaambiwa unachochea vurugu, haya bana
 
Raia wa nchi hii kitu ambacho hawana ni mahali pa kusemea dhuluma wanazofanyiwa, na mahali pa kusemea kudai haki yao. Ukisemasema sana unaambiwa unachochea vurugu, haya bana
Haki za binadamu nao wakiongea wanaambiwa nao ni vichaa!
 
Jamani muda wa miezi sita ni mchache sana kwa mtu ku-master sheria zote, ku-master mguu upande na mguu sawa. Wengi hutoka mafunzoni na uelewa mdogo wa sheria.
Kuna sheria ambazo ni basic,kama hizi zinazohusiana na watuhumiwa!Polisi wa nchi za wenzetu wakikumata,kwanza wanakueleza uko chini ya ulinzi na una haki ya kukaa kimya maana chochote usemacho kinaweza kutumika dhidi yako kama ushahidi mahakamani!
Sasa hawa wetu wakikudaka,unakula virungu mpaka ukiri kosa!
 
Ni kweli Polisi ni idara, Magereza wanaitwa Tanzania Prisons Service. Ila kuitwa majeshi lilitolewa kama tamko la kisiasa nadhani wakati wa vita ya kagera!
Mkuu wewe usikose usingizi wewe ita idara tu, kuokoa muda ila hao ni wanajeshi kutokea kwenye majeshi yao sio tpdf.
 
Jamani muda wa miezi sita ni mchache sana kwa mtu ku-master sheria zote, ku-master mguu upande na mguu sawa. Wengi hutoka mafunzoni na uelewa mdogo wa sheria.
Mh, aliyekwambia polisi wanasoma sheria nani, waulize kama wanapewa hata cheti.
 
Back
Top Bottom