Jeshi la polisi lajianika

so zote ni force kwanza jeshi la wanaichi alijafika leval yakuitwa army but bado ni forces ndio maana linaitwa Tanzania people defence forces na polisi wanaitwa polisi forces ndio maan inaandikwa pt saw elewen nyie madogo
 
Majeshi gani mkuu?
Unaeleweshwa hutaki kuelewa umekunywa supu ya kichwa nini?
Unanibishia ki standard three ndio maana sikuelewi.

Kwani wakiitwa jeshi au taasisi za kiraia inaongeza au kuwapunguzia kitu gani??
 
so zote ni force kwanza jeshi la wanaichi alijafika leval yakuitwa army but bado ni forces ndio maana linaitwa Tanzania people defence forces na polisi wanaitwa polisi forces ndio maan inaandikwa pt saw elewen nyie madogo
tpdf haijakidhi viwango eti???

Ndio maana wameamua kugombania jina na polisi wa nchi maana hakuna namna sasa.
 
Unanibishia ki standard three ndio maana sikuelewi.

Kwani wakiitwa jeshi au taasisi za kiraia inaongeza au kuwapunguzia kitu gani??
Huwezi ukamuita raisi mbunge,
Sungura ukamuita mbwa, kaka ukamuita Dada, Daktari ukamuita nesi, au wewe urudi nyumbani watoto wakuite mama badala ya Baba!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom