Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.

CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.

CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.
wana CCM wenye mawazo kama yako mtapata ugonjwa wa moyo na msongo wa mawazo chama chenu kitakapo ondolewa madarakani,ambayo itakua tiketi ya kifo cha CCM. wengi wa wanachama na viongozi watakimbia,na wataikana CCM mchana kweupe!
 
Hilo haliwezi tokea kamwe. Mlisema Nyerere akifa CCM nayo inakufa, but mpaka sasa inadunda. Poor you!
 
CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.

CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.

CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.

Duu?????????????????????????????????? mavuvuzela kumbe yapo mengi yale yale ya Sisiemu itatawala milele, vyma vya msimu.. kwikwi...
Haya wa
 
Kauli ya Slaa ni sawa na kama jeshi la polisi au serikali linatishwa kwa kuambiwa ukweli basi wawe kunguru tu mambingwa wa kuogopa duniani

SIAMINI JESHI LINASHINDWA KUKAMATA MAJAMBAZI NA MAFISADI LAKINI LINAMKAMATA ALIYEWAKUMBUSHA MAJUKUMU YAO

Mkuu unategemea nini toka kwa hawa wa vyombo vya dola ambao utendaji wao wa kazi ni kama vile kitengo kingine cha magamba!? Wanasahau kwamba Magamba hawatakuwa madarakani milele na kiama cha magamba hakiko mbali sana.
 
Badala ya kuwaksmata mawziri waliohujumu nchi hii ambao ushahidi umewekwa wazi juzi bungeni anakamatwa mhubiri wa uamsho wa ukombozi mamboleo. Ajabu hii.
 
Wamkamate haraka sana ili tupate mahali pa kulianzishia vuguvugu la kuwang'oa magamba na vasco!!!!!!!!1
 
Barlow nimevumilia sana kwakuwa hutendi haki ngoja mtandao wa kijamii ukuvue nguo!!! Wana JF RPC Mwanza anamiliki MIMBA mzumbe university MBEYA campus kwa WP jina kapuni LLB2.
kaka kama uko na habari za huyu jamaa ambazo zinaweza tusaidia kumuandika kwenye gazeti tusaidie ili tuziweke kwenye gazeti watanzania wakapate kusoma taarifa za huyi kamanda ili watu wajue ni mchafu na fisadi
 
wanacheza na siku wakimuona dk slaa ameingia ikulu pale wajue wamekwisha watajuta kuwepo tanzania na kuzaliwa tz hapa,
 
Kwan swala la viongoz kutoa siku ili jambo flani lishughulikiwe limeanza leo? Huyu kamanda nadhani anataka kupanda cheo tu hamna kingine hapo, niliangalia hiyo habar lakin huyo afande mwenyewe anayejiita kamanda sikumwelewa maana yake, hawawez kumfanya lolote Dr slaa coz huwa anafanya mambo yake kwa takwimu hakurupuki kama gambaz'
 
katika hali ya kawaida kabisa jeshi letu halijui wajibu wake na ndio maana likiona linakosolewa kinachofuata ni kutoa onyo na vitisho
 
Kama anachochea uvunjifu wa amani akamatwe na aswekwe ndani tu, asituletee siasa zake za uvunjifu wa amani, inaonesha ile ya Arusha x 2 bado hajapata adabu.
 
ccm na dola wameishiwa mbinu,dr.is the next prezoo of tz and the police and moulding him whether intentinally or otherwise!
 
Very stupid Tanzania Police. They are working for Mafisadi. Go to lake Victoria, there are Illegal dealings done by police officers in Mwanza, why dont they deal with those first instead of dealing with noneffect words from Dr slaa. Stupid kamanda wa polisi Mwanza. I thought you graduated from law school in UDSM but still you can work for mafisadi. I
am very disappointed by your orders.
 
Back
Top Bottom