CHIETH
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 179
- 67
nonentitykama anachochea uvunjifu wa amani akamatwe na aswekwe ndani tu, asituletee siasa zake za uvunjifu wa amani, inaonesha ile ya arusha x 2 bado hajapata adabu.
nonentitykama anachochea uvunjifu wa amani akamatwe na aswekwe ndani tu, asituletee siasa zake za uvunjifu wa amani, inaonesha ile ya arusha x 2 bado hajapata adabu.
hujawahi kuandika chenye akili
Chenye akili kivyako ni kumwacha aendelee na uchochezi wa uvunjifu wa amani?
Mbona wewe umeikimbia fb, hadi huku kuwatafuta mamen na hakuna mtu anayekukebei?
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.
source: Star tv news
Practically ukiitoa CDM jeshi la Polisi litakuwa surplus to requirements. Liko active kuwazuia CHADEMA, kuwaonea raia wema lakini pia kutetea na kulinda wabadhirifu na wahalifu - CCM. CDM haitalipiza kisasi, lakini hakika itabadili muundo na maudhui ya PT ikiingia madarakani
Wanadai alitoa matamshi kuwa polisi watoe tamko ndani ya siku tatu kuhusu kukatwa mapanga wabunge wa CHADEMA wao wametafsiri kama uchochezi na wanasema Dr. Slaa katoweka Mwanza kinyemela.
Wanajidanganya hao watu!
Kama kijasho tayari kilishakutoka, kama kamasi tayari ushafuta sana, sasa naona nguvu ya CDM itakumwaga kinyesi kabisa mwaka huu haki ya nani!Chenye akili kivyako ni kumwacha aendelee na uchochezi wa uvunjifu wa amani?