Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Kuamuru au kushawishi raia kushambulia vituo vya polisi ni uchochezi! Kama kweli Dr Slaa amewaamuru au kuwashawishi raia kuvamia vituo vya polisi ana kesi ya kujibu.
 
Nyie endeleeni kutokwa mapovu tu...

M4C, haina huruma

Ingieni mitaani mvunje amani kama nyie ni kweli. Tutaomba jeshi likae pembeni, kwanza tuwashughulikie sisi. Kama hamjaacha vi grocery vyenu mkarudi Moshi.
 
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza ametoa amri kwa dr.slaa kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi ili kutoa maelezo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni uchochezi kwani alitoa siku saba kwa jeshi la polisi kuwatia hatiani wale wote waliohusika kuwacharanga mapanga wabunge wa CHADEMA.Anasema wameshindwa kumtia Dr.Slaa nguvuni kwani aliondoka Mwanza kinyemela hapo juzi kuelekea Dar.source star tv.[/QUOTE]
Sasa wanashindwa kumkamata kwani alisafiri na UNGO? Polisi wetu wanatapatapa sana bt siku si nyingi watasurrender. Dr. ni jembe la ukweli hakuna wa kumbabaisha
 
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.

source: Star tv news
Mbona polisi wanajihami! Ina maana hadi leo hawajakamilisha huo uchunguzi au wabunge kutibiwa?
 
kamanda wa mkoa wa mwanza akiongea na vyombo vya habari leo amemtaka katibu mkuu wa chadema kujisalimisha, baada ya kutoa maneno ya uchochezi katika mikutano yake ya mwanza na Geita akiwataka wanainchi kuvishambulia vituo vya police endapo jeshi hilo halitawakamata wale wote waliohusika na kuwajeruhi wabunge wa chama hicho highness kiwia na mbunge mwenzake na amewapa siku saba jeshi la police kuhakikisha mbunge kiwia anapona haraka. Taarifa ya Habari star tv, saa 2 usiku.

Kwahiyo kumbe wanajua kuwa hawatashughulikia hili swala, ndio maana wanamkamata mapema ili vituo visichomwe. Ningewaelewa kama wangeweka nguvu katika kuwatafuta majambazi ili vituo visichomwe moto na sio kumkamata mtu ambae anawakumbusha kazi yao.
 
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.

source: Star tv news

Safi sana kamateni hili jambazi
 
Haki itarejea pale tutakapo pambana na hawa wachovu-Jeshi + Tired Government.
 
Tafsiri yangu juu ya Matamshi ya Dr Slaa ni Sahihi.

Kama Serikali na Police wanajiuma uma kuwakamata wahusika vitendo hivyo vinampa UHURU Dr Wa Kutoa tamko.Sioni tatizo kwa Matamshi ya DR SLAA yalilenga kuwa amsha Police na kuwafumbua Macho Serikali iliyopo madarakani kuwa wanayoyafanya ni kinyume na maadili.

Dr Slaa alitoa matamko hayo kuwapelekea meseji wahusika wa tukio la kuwadhuru wa wabunge wa chadema kuwa Watanzania watawakamata wao na kuwapeleka na wasifikiri wamesalimika.

Matamko katika nchi hii yapo mengi sana,Mbona tamko la Marehemu Shekh Yahaya kipindi cha nyuma kuwa Yoyote ambae angejitokeza kushindana na JK ANGEKUFA mbona police hawakuhoji na kusema ni uchochezi.Ikulu ilisema ni Maoni tu.

Haya matamshi ya Dr SLAA leo ndo yavuruge nchi?

Siamini kama Dr Slaa ana hifadhi ya dhana za kivita kiasi kwamba muwe busy na Matamshi yake namna hyo?

Kinachoonekana hapo wale wote waliokamatwa si wahusika na wahusika wamefumbiwa macho hicho ndo kinacho wakera Watanzania Wa nchi hii.

Jeshi limeguka kichaka cha kuwahujumu wapgania haki wa nchi hii na kufanya kazi kwa waliowateua ili kulinda ajira zao.

Amani na Utulivu wa nchi hii unavunjwa na vyombo vya ulinzi na Usalama kwa kudharau haki za Wanyonge na Kuwatetea Walafi wa Rasilimali na Wezi wakubwa....

Police nyie mmekuwa vibaraka wa viongozi ndani ya nchi hii tena wa chama kimoja lakini yote hayo ni kutekeleza ilani ya Chama kwa njia tofauti tofauti.

Mytake. polisi Fanyeni kazi zenu kwa STAHA NA SI SIASA.
 
Polisi wamesahau majukumu yao badala yake wamekuwa vibaraka wa CCM na wadidimizaji wakubwa wa demokrasia. Je hayo maneno angeyatoa Nape au mwanamagamba yeyote wangetishia kumkamata? mbona tumeshudia Lusinde akitukana na kudhalilisha watu kule Arumeru na Polisi walikaa kimya
 
Tafsiri yangu juu ya Matamshi ya Dr Slaa ni Sahihi.

Kama Serikali na Police wanajiuma uma kuwakamata wahusika vitendo hivyo vinampa UHURU Dr Wa Kutoa tamko.Sioni tatizo kwa Matamshi ya DR SLAA yalilenga kuwa amsha Police na kuwafumbua Macho Serikali iliyopo madarakani kuwa wanayoyafanya ni kinyume na maadili.

Dr Slaa alitoa matamko hayo kuwapelekea meseji wahusika wa tukio la kuwadhuru wa wabunge wa chadema kuwa Watanzania watawakamata wao na kuwapeleka na wasifikiri wamesalimika.

Matamko katika nchi hii yapo mengi sana,Mbona tamko la Marehemu Shekh Yahaya kipindi cha nyuma kuwa Yoyote ambae angejitokeza kushindana na JK ANGEKUFA mbona police hawakuhoji na kusema ni uchochezi.Ikulu ilisema ni Maoni tu.

Haya matamshi ya Dr SLAA leo ndo yavuruge nchi?

Siamini kama Dr Slaa ana hifadhi ya dhana za kivita kiasi kwamba muwe busy na Matamshi yake namna hyo?

Kinachoonekana hapo wale wote waliokamatwa si wahusika na wahusika wamefumbiwa macho hicho ndo kinacho wakera Watanzania Wa nchi hii.

Jeshi limeguka kichaka cha kuwahujumu wapgania haki wa nchi hii na kufanya kazi kwa waliowateua ili kulinda ajira zao.

Amani na Utulivu wa nchi hii unavunjwa na vyombo vya ulinzi na Usalama kwa kudharau haki za Wanyonge na Kuwatetea Walafi wa Rasilimali na Wezi wakubwa....

Police nyie mmekuwa vibaraka wa viongozi ndani ya nchi hii tena wa chama kimoja lakini yote hayo ni kutekeleza ilani ya Chama kwa njia tofauti tofauti.

Mytake. polisi Fanyeni kazi zenu kwa STAHA NA SI SIASA.

Semeni wananchi msiogope walinzi wa amani. Wasije wakasahau kazi yao.
 
Police wamejisahau!Wanatakiwa wajue ukombozi wanchi hata wao watakula mema yanchi!Wananchi tumekaa kando tunaangalia tu kwamacho namasikio,Siku inakuja tutatoa tamko rasmi.Police navyombo vyote vyadola viahamishia mapenzi yao yakinafiki kwetu!
 
we dada shika adabu yako, unajua maana ya gvt? Sema upewe elimu ya uraia.

First, don't title me as "Dada" because I'm not one. Two, wewe unayejua maana hebu sema! What makes you think wewe pekee ndiye unayejua gvt ni nini? Haya, let's assume you do, sema basi wewe unayejua gvt ni nini.
 
Dr Slaa amefanya vizuri maana wanatumia mda mlefu mno kuchunguza, na hii ni kwa sababu wakiwapata waliohusika wanatuma mtu kuwaomba rushwa ili wazidi kusogeza mbele uchunguzi , na mkijisahau nao wanasema hakuna ushaidi wa kuwafungulia kesi.....ni bola walivyopewa mda.
 
Back
Top Bottom