Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Great thinkers kumbukeni kauli HILI LA ZITO NI UPEPO LITAPITA"sasa lazima litafutwe jambo lakusababisha kauli hiyo itimie
 
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza ametoa amri kwa dr.slaa kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi ili kutoa maelezo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni uchochezi kwani alitoa siku saba kwa jeshi la polisi kuwatia hatiani wale wote waliohusika kuwacharanga mapanga wabunge wa CHADEMA.Anasema wameshindwa kumtia Dr.Slaa nguvuni kwani aliondoka Mwanza kinyemela hapo juzi kuelekea Dar.source star tv.

Aliondoka kinyemela?
Ndio mwendo gani huo?

Haya ndo matatizo ya kuwa na walinda usalama wa nchi wasio
jua kusoma wala kuandika aka standart 7.

Sasa walitaka awaage wake zao au?
Huu upuuzi kweli
 
Polisi naona wanataka sasa wauguse moyo wa chadema, kwani slaa alisema uongo? So ni vyema ilo tamko polisi wangewatolea mawaziri walioiba fedha hapo ningelionajeshi la polisi ni la maana.
 
Kweli Polisi imefirisika kimawazo. Wanataka kutuambia kuwa wameshindwa kukamata hao waharifu? Wajaribu waone nini maana ya nguvu ya umma.
 
Wanasubir nini? Kwnini wacmkamate kwanza ndo watangazie umma? Wanaomba public sympathy or what? They are like a donkey lived for 30 years whch hopes to be a horse one day!

Kuna majambazi yametajwa na CAG mbona ayakamatwi? POLISI kamata wezi meeeeeeeeeeeeeeen
 
Sheria gani au kifungu gani kavunja?Hao polisi wanatafuta umaarufu tu
 
Rais wa watanzania,
mwenye hekima,
Dr. Slaa anaumiza vichwa vya magamba.
 
Hivi kumbe ukitaka kusafiri nchi hii ni lazima ukaage polisi? Ndo kwanza nasikia leo, kaondoka kinyemela Mwanza kwani alikua mahabusu?
 
Nadhani wanataka kupima kipimo cha Wananchi tulivyo tayari kwa lolote, kama walimsafirisha Mbowe kwa ndege ya kijeshi usiku usiku na kumpeleka Arusha wasithubutu kabisa kucheza na Rais wetu ambaye ndiye yupo mioyoni mwetu.
 
Back
Top Bottom