Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

zamani nilikuwa na hofia sana vita ya wenyewe kwa wenyewe lakini nimekuja kugundua kamwe kwasasa halitatokea maana wananchi upande mmoja na kwa bahati mbaya hata polisi wengi wako upande wa wananchi wanaweza kuwa upande wa mafisadi mwazo wa vita lakini watajiunga na ukweli...mafisadi lianzisheni
 
Kwani kutoa siku 3 kunachochea vipi vurugu?. Wakimkamata tunajua ni kwa sababu anazoa zoa wanachama wa CCM na hiyo itaipaisha CHADEMA kwa mbali.

Kweli mkuu wanadhani wanawaaribia kumbe ndo wanawapaisha
 
Sio utani.
Wanao enda jeshini ni wale walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda jeshi la polisi ni walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda usalama wa taifa,at least hapa wapo walio soma soma kidogo,
ila wengi ni walio feli sekondari.

Kwa mtindo huu unategemea nini?
Ndio maana mwigamba aliandika kwamba watumie akili zao,
nadhani alisahau kwamba hata akili ndogo sana hawana na
ndio maana hawakuelewa maana ya makala yake.

Kuna mmoja yupo siku nyingi kweli kwenye hiyo Idara, yaani mwaka huu ndio nimeanza kumfundisha know how ya Computer na kutumia Google, maana hapa JF hata kuchangia kwenye thread kama hivi ni mgogoro.

Problem kubwa hiyo Idara ajila hazitangazwi kila mtu anampeleka ndugu yake sifa kuu ni uwe Mtanzania, angalau kuanzia mwaka jana ndio wameanza kuchukuwa form six kwenda juu.
 
Mungu yupo nasi,kama wanaweza watukamate nchi nzima sababu ukweli ulio wazi robo3 ya Watanzania wapo Cdm.
 
Ku** mae zao mbwiga hawo police njaa...wataliona joto la jiwe tu.
 
Let's not be so judgemental. Kwani just because he has influence on people ndio akitamka kitu offensive dola ikae kimya? He's not a saint tuseme hakosei. Lakini pia, sio sahihi kumtishia kumkamata just because he exercised his right to speech. I think he is getting carried away to order the government easily like that.
 
jamani hii nchi ililogwa na nani? ina maana hakuna mwenye akili hata kidogo jamani. ila naamini mwenyezi Mungu anayaona haya.
 
kwahiyo hawajui alipo?? kama hawajui niwape no..yake au niwambie alipo..hao ni sawa na mbwa kubweka lakini hamove kwenda kwa mwizi......
 
Let's not be so judgemental. Kwani just because he has influence on people ndio akitamka kitu offensive dola ikae kimya? He's not a saint tuseme hakosei. Lakini pia, sio sahihi kumtishia kumkamata just because he exercised his right to speech. I think he is getting carried away to order the government easily like that.

what is your position sir/ma'am, sijakusoma
 
Kumkamata Dr.Slaa sio suluhisho la kuzuia haki isitaftwe,,hivi hata hamjajishitukia kwa kutowakamata waliowapiga Wabunge wa CHADEMA...
 
wakijaribu tu. Maandamano tutaanzia mwanza na geita non stop. Tumechoka jamani
 
polisi wa bongo cjui uelewa wao lakini wengi hawana akili nzuri. Wamguse waone moto.
 
Polisi wa kibongo bwana, eti madai haya nayo ni taarifa za kiintelijensia
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.

source: Star tv news
 
Hamna kitu hapo, kilicho wastua ni jinsi mzee wa kazi anavyochanja mbunga na kunjavunja ngome za magamba!

Itabidi wamshauri JK ampe ubunge wa kuteuliwa ili kumpunguza kasi.
 
Kwani kutoa siku 3 kunachochea vipi vurugu?. Wakimkamata tunajua ni kwa sababu anazoa zoa wanachama wa CCM na hiyo itaipaisha CHADEMA kwa mbali.

Kama wametekeleza "agizo" la rais Slaa wasione aibu, wakubali kuwa walikuwa wazembe.

Siku 3 au 7 ni ultimatum kuwalazimisha polisi na serikali ya ccm kutoa majibu wa nini kiliwapata wabunge Kiwia na Machemuli.
 
naona vita ya raia wa Tanzania dhidi ya majeshi ya Tanzania inanukia!
 
Jeshi la polisi mkoani mwz linamtafuta Dr Slaa kwa uchochezi wa kuwashawishi wananchi kuvamia vituo vya polisi na kuipa serikali siku 3 kuhakikisha wabunge wa cdm waliopigwa wanapona.
Source: star tv

jesh la polis linamtafuta SLAA?kwani SLAA WA KUMTAFUTA?
 
Rais wa kweli,akitamka maoni yajengayo ita askari,aluta continous prezda
 
Back
Top Bottom