MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,759
- 3,033
Mkuu, Mimi sijawaona na kutokana niliyoyasikia; sihitaji kukutana nao ili nifahamu udhalimu wao. It is simple common sense kukubali ukweli kuwa hapa polisi wametimiza wajibu wao kwa wananchi wao. Na kwa hili, wanastahili pongezi.Wanaosema kova aanze na mafisadi hawakuwai kuwaona hawa watoto wakifanya fujo, mtu unatoka job usiku unaamua kulala guest kwako hapapitiki hawa wahuni wametanda na visu, viwembe,mapanga na nyundo