Kukosekana kwa umoja (wanazengo) ndio tatizo la mitaa kuibuka panya road

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,751
Mjini kila mtu na mambo yake hakuna kujuana,ilo ndio tatizo baadhi ya maeneo kupelekea kuibuka vikundi vya wahalifu kwa jina panya road.

Vikundi hivi vinaibuka sababu hakuna umoja wa mtaa kukomesha na kujua vijana tabia zao ukilinganisha watu waliopo mikoani wanavoshirikiana na viongozi wa kijiji na polisi.

Matukio yanayo tokea Daar es salaam tatizo linapoanzia hapo.kama itarudiwa tena ile kipindi cha kukomesha komando yoso ilivofanywa ya wanazengo kujua nyumba hii kuna kijana mkorofi,kazi yake,ana soma na n.k.

Nawepeni wiki moja tu watakuwa wamekimbia vijijini kujificha au south africa wanapokwenda kujifichia.
Jiji la dar litatulia
 
Back
Top Bottom