Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

Nenda afu mkikosa kilichowapeleka huko after two years mje tena kulia lia humu
Asee samahan naomba kueleweshwa apa kwaiyoo wakisema miaka 22 inabid uwe na miaka 22 kamili au maana mie nimemalza form six mwaka 2017 namiaka 22 nasubir nafasi Za jkt ztakazo tokaa iv karibuni naomben mnisaidie jibu ndugu zanguu
 
Kama unaogopaa ku take risk katika maishaa yakoo utokujaa kufanikiwaa kamwee,, niishie hapo cwez kumuelewesha ignorant
Punguani mkubwa ww yaan ww ndo wakuniita mimi ignorant? Ulifel form six huna pa kwenda ndo umeona ukimbilie huko failure mkubwa ww.Wenzako wameingia second year vyuoni wewe uli fail
 
Punguani mkubwa ww yaan ww ndo wakuniita mimi ignorant? Ulifel form six huna pa kwenda ndo umeona ukimbilie huko failure mkubwa ww.Wenzako wameingia second year vyuoni wewe uli fail
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ brother co kila anaeomba jeshi kafelii be civilized ,, mie napenda jeshi kutokaa moyon nikwqmbie tu kitu nmesoma PCM nina div two ya point 10 nmeamua tu kuachana na maswala ya kusoma coz napenda jesh na aujui nko wap now ,,cwez kubishana na ww form four failure ambaye you dont know even where the world goes niishie apo ignorant ww๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•
 
Kweli mwendawazimu wewe yaani PCM unapata two ya kumi unatamba pumbavuu wewe.Yaani wenzako tunagonga single digits weww unapataje two? Acheni kuligeuza jeshi kuwa sehemu ya failure
 
Kweli mwendawazimu wewe yaani PCM unapata two ya kumi unatamba pumbavuu wewe.Yaani wenzako tunagonga single digits weww unapataje two? Acheni kuligeuza jeshi kuwa sehemu ya failure
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ umeshindaa mkuu ,, naomba namba yakoo rafk angu plz
 
Sio namba fanya ku upload matokeo yako ya olevel na advance hapa unaweza kuta ata form four ulipata two au one ya kumi na kuendelea
Mpuuz nn nikifanya ivo inabid nikitoka tu kuapload matokeo yang apa nkapimwe na akilii maana ntakua na bongolism since i was child sio buree,,, labd ww ignorant mweny one ya single digit unaweza fanya ivoo em apload tuone icho kijit cha form six ndug yetuu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom