Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

Ushoga ni roho ya shetani, ni moja ya uovu ulioiangamiza sodoma na gomora, ole wa kizazi hiki, maana hukumu ipo karibu,
Warumi 1:23
wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

Warumi 1:24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.

Warumi 1:25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.

Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;

Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

Warumi 1:28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

Warumi 1:29
Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,

Warumi 1:30
wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,

Warumi 1:31
wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;

Warumi 1:32
ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Ubarikiwe
 
Vijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .

Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wamehukumiwa kimakosa kutokana na ulemavu au shida zao za kuzaliwa nazo.
Kipimo cha ushoga hakiwezi kuwa 'gait abnormalities' huyo Kanali amesomea udaktari wapi?
Vijana wanatakiwa wamfungulie mashitaka kwa kuwachafua na kuwanyanyapaa walemavu.
 
Mkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga.

Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na vidole vyake ikaweka hali ya kutiliwa mashaka kuwa huenda anajihusisha na vitendo vya ushoga, alisema Kamanda Kanali wa JKT.

View attachment 2410072
Kama walikuwa na ugonjwa wa bawasiri na wewe umewaita mashoga,ninaomba Mungu akupige hadi siku moja urudi hapa na kwenye media zote kuomba radhi.

Upigwe na bawasiri na usipone hadi uje uombe msamaha hapa.

Wanaofurahia ulichoandika wapigwe na ugonjwa huu hadi waje kuomba msamaha hapa.
Uzi wako unajaribu kulipromote tatizo hilo ili tuone watu wengi wameathirika lakini mimi nakataa na ninaenda kinyume na ushetani huu unaojaribu kuutangaza kwa jina la Yesu.

Mungu na ashughulike na wewe iwapo huu ni uzushi wa maksudi
 
Sitetei ushoga ila hii nchi ina watu wenye imani za hovyohovyo sana.

Mwanasiasa anajiona na yeye ni daktari.

Kuna wengine masikini wana matatizo ya bawasiri, ikitokea kwenye ukaguzi kama huo iwe ni jeshini au jela na yeye moja kwa moja anaingizwa kwenye hilo fungu la mashoga.
Wewe nawe nishoga! Bawasili haihusiani
 
Na kwanini unampima mtu ushoga kwa kumuangalia muonekano wake?

Wengine wanazaliwa wakiwa na miili dhaifu, kwanini uwatusi na kuwadhalilisha kwamba wanafirwa?

Kama miili yao dhaifu na hawana vigezo vya jeshi, basi waondolewe kwa staha sio kuwatusi.

Huyu afande nikimpima saikolojia yake ya maneno anaonekana ni shoga. Ana sensitivity kubwa sana ya kujihami hami.

Insecurities much?
Na mimi nimeshangaa! Yaani mwanaume akikimbia kwa kukata mauno tayari ni shoga!

Si nasikia kuna wanaume mabaunsa lakini ni mashoga!

Kwani ushoga ni tabia au ni mwonekano?
 
Nchi ya mataahira hii , sasa hii nayo ni mada na wapumbavu wanapoteza muda huku kujadili huu ujinga eti ,aisee
Tz ina vitu vya muhimu ambavyo vinaweza kujadiliwa kwa mustakabali wa nchi ,si kukaa mnajadili makalio na njia za haja kubwa ,au na nyie mnataka mshikishwe ukuta ? Maana inaonekana mnawaonea wivu hao mashoga
Hatukuonei wivu mkuu ni habari tuu
 
Back
Top Bottom