Sio wapuuzi hata kidogo, Wapuuzi ni hao walioingia makubaliano na hawa jamaa kuwa wataboresha maslahi yao. lengo ilikua ni kuwashawishi hawa jamaa ambao inasadikika kuwa baadhi yao walikua ni Waasi wajiunge na jeshi. Kwahio jamaa wanakumbushia mapatano yao sio kuwa wamekurupuka tu.Kwa mfano wakafanya mapinduzi na kuja kugundua kua Taifa hakuna uwezo wa kuwalipa wao hizo fedha? Wajinga sana hao! Ubinafsi umewazidi!! What about others? Yaani wao tu walipwe vizuri? Wengine hawastahili?
Unajua wewe una elements za ki dictator kabisa, ni Kama ccm inavyong'ang'ania madaraka wakati wananchi hawaipendi, huyo Gabo wako hakushinda urais Kama shein na Juma pumbatupu maharage sasa Kwa kuwa walizoea kufoji madaraka ndo maana jeshi la Ufaransa likamtoa Gabo Kwa nguvu, sasa unatetea nini?Safi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Hapa kwetu "wana nidhamu"Heko kwa jeshi la Ivory Coast! Natamani na hapa kwetu wangekinukisha ili wanasiasa uchwara wanaojiona kuwa wana Hati Miliki ya Nchi waisome namba...