MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,731
- 9,186
US§ 8000? Kuzitaka hizi kwa Ivory Coast ni sawa na marehem wetu aliyetufikisha hapa tulipo bila katiba kutaka maziwa na siagi udsm!
Duh.,dollar 8000 na nyumba kwa uchumi wa Ivory Coast vinawezekana?
Je wewe ni muhamiaji Haramu?kwanini isitokee na bongo? Mbona ivory coast inaupendeleo?
mkuu lancanshire temana na hili zuzuh halielewki. Limekuwa likimsifu humu Trump utadhan ni baba yake had akapata urais. Nalimekuwa likiwaponda Obama na mkewe humu humu jf nakuwaita nyani lipotezeeNi kawaida ya mtu mweusi kudhani kwamba kila tatizo analopata limesababishwa na mzungu hii tumeiona hata marekani watu weusi wana inferiority complex kwahiyo sikushangai wewe.
Tutalisovu, na Gambia tunaenda kumng'oa ndg yako Jammeh... Chizi yule asiye na hofu ya MunguSafi muosha huoshwa huyu jamaa (Raisi wa Ivory Coast) ndiyo aliyemfitini Gbagbo pmj na Wazungu wake na alikuwa anajitayasrisha kuivamia Gambia, sasa na yeye ajiandae shwaini huyu kibaraka ya Mzungu! Dola 8000 ataitoa wapi? Hiyo ni coup d'état dadadeki ndo ajue Wazungu siyo watu wa kuwaamini hata siku moja, wameshamgeuka!
Tutalisovu, na Gambia tunaenda kumng'oa ndg yako Jammeh... Chizi yule asiye na hofu ya Mungu
nikikamata F35 maamae nadondosha vitu vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka pale Kwa sizonjeJe wewe ni muhamiaji Haramu?
Tanzania tuna jeshi la kizalendo sio wachumia tumbo.kwanini isitokee na bongo? Mbona ivory coast inaupendeleo?
Unamtetea Jammeh? Hana manusraHata wewe watakung'oa tu, Mzungu siyo babako!
Unajua ninyi ccm mmezoea kunyang'anya ushindi wa watu ndo unaona hata Gbagbo alikuwa sahihi pumbavvvv, shwaini? Hivi unajua kuwa Gbagbo alikuwa ameshindwa kwenye kura ndo akataka kupindisha matokeo kama Sheini wa ccm alivyofanya kule Zanzibar? Sasa mpumbavu mwingine yuko hapo Gambia naye anataka kung'ang'ania madaraka pamoja na kuwa alishindwa kwenye kura! Barbarosa mke wangu mwe mnauliza kwanza shida ilikuwa nini, siyo kukurupuka tu kama nimekufumania kwenye ugoni!!Kabla ya kuanza kuandika upuuzi jiulize nani kamuingiza Outtara madarakani? Kama unataka kumtoa Mzungu kwenye hii equation, kwa nini Majeshi ya Ufaransa yaliingia Ivory Coast kwenda kumkamata Gbagbo kwa nguvu?
Unajua ninyi ccm mmezoea kunyang'anya ushindi wa watu ndo unaona hata Gbagbo alikuwa sahihi pumbavvvv, shwaini? Hivi unajua kuwa Gbagbo alikuwa ameshindwa kwenye kura ndo akataka kupindisha matokeo kama Sheini wa ccm alivyofanya kule Zanzibar? Sasa mpumbavu mwingine yuko hapo Gambia naye anataka kung'ang'ania madaraka pamoja na kuwa alishindwa kwenye kura! Barbarosa mke wangu mwe mnauliza kwanza shida ilikuwa nini, siyo kukurupuka tu kama nimekufumania kwenye ugoni!!
Unamtetea Jammeh? Hana manusra