Mmmh hayo ndio madhara ya kuajiri kila mwaka wanajeshi 2000 hata kama nchi haipo vitani na haina viashiria ya vita au hatari! ILI
Kwa nchi kama Tz isiyo na vita; bora Walimu na madaktari ndio wa andamane.
NASHUKURU SN VYOMBO VYA ULINZI KWA KULINDA MIPAKA YETU, AMANI YETU, NA RAIA WAKE WOTE. BILA KUSAHAU ULINZI ALIONAO KWA SASA MHE: RAIS Dr. JOHN P. MAGUFULI. NAFAHAMU ANA MAADUI KIBAO.
ILI HAYO YA IVORY COAST YASITOKEE TZ, JESHI LETU LIFANYE HAYA:
1. Wa ajiri std 7 (Tall, black , full of meat, chest, katili,nk) kama 3000 na wasambazwe Dar, Mwz na Arusha. Kazi ni kudili na Vigodoro, Kanga Moko, Panya Road, Majambazi, Vibaka, nk. Watakuwa hawaonekani mchana (hulala), kazi yao ni usiku tu. HAKUNA KUZOEANA NA RAIA.
Na tuache siasa ktk Jeshi eti nafasi 2000 kila mkoa 100 hakuna hiyo. MARA muwape hata 1000. Naturally, they are born Soldiers. Chondechonde tusi wa Ignore std 7 ktk jeshi letu. Hawa wasomi ni legelege sn afu waoga mnoo!! Muiba tu ukimchoma hadi kwa doctor ndio autoe.
2. Jeshi letu liwe na Vikosi maalum vya kudeal na Ugaidi tu. Achana na hizi kelele za Mwigulu eti Rwakatare ni gaidi. Hajui ugaidi na haujaingia Bongo. Viwanja vyetu vya mipira vimezungukwa na misitu, gaidi kupenya ni raisi sn na kuua mamia. Hakuna check points Bank, Big supermarkets, viwanjani-michezoni, matamasha na warsha, mikutano ya Injili na ya kisiasa, music, nk.
Msipende kuwa singizia Al-Shabab hawajaingia. Bongo tuko uchi mno kwa Al-Shabab. Tujiandae mapema. Hawa wa track Money transfer, wasafiri wa anga, Drug dealers, na kuwekeza ktk majasusi yaliyo kubuhu!!
3. IT based Army. Hayo matofali wanayo pasua, misumari mara kuvuta magari havina tija karne ya 21. Tunaweza kuwa na jeshi dogo lakini lenye nguvu sn iwapo litaendana na technolojia. Mf. Tumpige MALAWI ndani ya dk 20 tu, nchi yote ni Moshi!!! Hakuna haja ya kwenda Maputo Physically. DRONES, JETS, BOMBS, Submarines, nk. Jeshi liwe na wabunifu ktk IT (ya Ukweli-pelekeni Vijana China, Russia, USA, GERMAN, UK; ) magari, mabomu, makombora, ndege, madawa hata ya UKIMWI watafute tiba wao).
NI MAAJABU ETI POLISI WA TZ HAJUI KUTEGUA BOMU KARNE YA 21!!!
NINA NIA NZR. NAIPENDA SN TZ YENYE AMANI NA MSHIKAMANO. SI INGILII MAMLAKA ZENU ILA NI USHAURI TU.
MUNGU WABARIKI TISS, SUMA JKT, POLICE WOTE,& JWTZ WAZIDI KUTII MAMLAKA ZA JUU KWA NIDHAMU MLIYOFUNDISHWA!